miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
ghwe na une ngulonda tugbhuke twesa ghwe ukubhuka sala isi?au utikulonda une mbhuke naghwe?
you deserve cuz
Ukifikia maamuzi nakushauri utumie Small g au sumu ya panya ndio zinaua vizuri siku hizi
Hahaha...ukishindwa huo tumia uzi wa buibui...
nitafutie kabisa .......,
Teh teh teh.......kwani hukumaliza?haya bro tutaongea!!!!
Na wewe siku hizi sijui ukoje... Hivi kunichagua mimi ukaona nitafaidi saaanaaa.... halafu kile kijirafi kile we subiri tu... nitaingia nacho mkataba kama ule wa wale Wakenya
- Nina majina maalum kama Kaizer, KakaKiiza, Pdidy heshima kwenu sana.
- Nina majina mengi mno yakutaja hapa; upande wa wanaume looooh na wengi ni mabest zangu
chama............- Wale wa chama cha zamani wapo @Zubedayo_Mchuzi na Bujibuji,
- Ukija wadada/akinamama loooh. Ni wengi hasa walionipora wanaume; kama Kongosho, Madame B Lady doctor, AmKATRINA,
- Heshima kwenu sana kwa michango yenu Heaven on Earth, miss strong, AshaDii, snowhite, ladyfurahia,
- Wengi nawaheshimu sana kama The secretary
- Wale wakamwana wangu kama mimisa, shansarie,
- Wakwe zangu kama Nicas Mtei
- Mlezi wa binti yangu Arushaone (acha ubahili)
- Mtoto wa kuzaa mwenyewe kiwatengu
- Mfadhili wangu mkuu Bishanga
- Rafiki yangu Mtambuzi, MziziMkavu, asakuta same
- Walionipa talaka sipendi kuwataja kwa kuwa nitapata hasira.
Kwenye orodha yangu hapo juu ningependa sana
kuona likitoka jina moja la JF Celebrity
santee cuzin!
Hapo pekundu hapooo!!!!!!!!
Nitakupataje?
hapo pekundu patamuondolea mshkaji mood ya maongezi!lol