Who Deserves To be a JF Celebrity?





Shhhhhhhhhh, nyamaza,, ongea kichinichini CCM hawataki kukosolewa na ukijifanya unajuwa zaidi watakutumia vijana wa Green Guards wakumwagie tindikali.....Usiwe na hasira kihivyo, we nyamaza tu wacha viongozi waibe kwani sheria haiwabani wao ila wewe na sie wana JF walalahoi. Mi niliongea hayo uyasemayo kwani ni Ze comedy ama bongo fleva kwa sababu we fikiria eti miaka 50 na kitu sasa toka tupate uhuru vile vitu muhimu nchini bado havijatimizwa in 50 years? Nikalalamika sana then nikaonyeshwa chupa ya tindikali, hivyo mpaka leo mie kimyaaaaaaa, nawaogopa Green Guards na kamanda wao Vuvuzela Nape.
 
mie na hubby kaizer tumejitangazia uselebriti. sasa mumeo ndo hataki kukubali.

Nawahitaji ofisini kwangu first thing tommorow morning mkiwa na nyaraka zenu kabla sijafany maamuzi ya PAPO kwa PUPA.
 
lara 1 na watu8 mnadeserve bwana ebu uliyeanzish huu uzi jamani ebu tumsapoti tunaweza tukafanya kitu kikubwa juu ya hili
 
shem wangu wa ukweli, mwenye kupinga hili ageuze kalenda turudi miaka ya 80, mimi na wewe shem miaka 1000, hatuwasiliani wangu? upo?

hakika nakwambia, lazima siku hizi nikusake, tumaliziane lile deni (nimetingwaje???)
 
Nawahitaji ofisini kwangu first thing tommorow morning mkiwa na nyaraka zenu kabla sijafany maamuzi ya PAPO kwa PUPA.
tumekusikia tutafanya hivo. Kaizer usichelewe kuamka kesho tuwahi huko tuna kesi ya kujibu.
 
Last edited by a moderator:
mmmmmmhhhhhh lala moko ndio nani mkuu

Lahaulaaaaaaa..! We humjui Lala moko? Bonge moja la superstar linalopatikana hapa bongo tena ndani ya JF, KUpata taarifa zake zaidi Piga no *101*06548963973*5000 mwisho alama ya reli ili na wewe unufaike nae kama sisi.
 
Mpambano naona unaendelea ngoja tupate 10 bora halafu mchujo uanzie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…