always am a Winner
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 230
- 193
- Thread starter
-
- #1,661
Uharo ni kwako usiyeamini. Kwa aaminiye ni kitu kingine. Ni ushindi, furaha, amani na matumaini.Mkuu huyu bwege anatafuta kick kupitia jina lako!!!! wa kumpuuza tu hana hoja nimekuja apa nikategemea ntapata kitu kipya nimekutana na uharo ule ule wa kila cku!!!
If is say I don't know the answer to a single of your questions, does it prove that God does not exist?Did I say DNA evolved?
If I say I don't know the answer to a single of your questions, it does not prove God exists.
It just shows I don't know the answers to your questions.
Can you prove God exists?
DNA passes hereditary diseases.
If an all knowing, all capable and all loving God created DNA, why did he allow it to pass evil hereditary diseases while he could have disallowed that?
If is say I don't know the answer to a single of your questions, does it prove that God does not exist?
Hujathibitisha kuwa Mungu hayupo bado, usiniambie kuwa huwezi kuthibitisha kisichokuwepo. Acha kukwepa majukumu.Hujathibitisha kwamba Mungu yupo bado.
Hilo ndilo la muhimu.
Kabla ya kuthibitisha Mungu yupo, lolote utakalosema litaandamwa na ukweli kwamba hujathibitisha kwamba Mungu yupo.
Unajua we we umetokana na nini?Kama hawa wanaokufa wangekuwa wanarud na kuja kutusimulia walichokikuta huko kaburin bac tungekuja kama kwel mungu yupo au hayupo
Nimethibitisha Mungu hayupo.Hujathibitisha kuwa Mungu hayupo bado, usiniambie kuwa huwezi kuthibitisha kisichokuwepo. Acha kukwepa majukumu.
Kama unahisi huwezi kuthibitisha kisichokuwepo kwa nini unaamini kuwa Mungu hayupo?
Dunia ingekuwa imeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote isingekuwa na mapungufu yote iliyonayo.Kuwako kwa dunia na viumbe mbali mbali,ni ishara tosha ya kuwa yupo aliyeyafanya hayo.Na si mwingine ni Mungu.
Mungu aumba atakavyo yeye Mungu sio utakavyo wewe.Dunia ingekuwa imeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote isingekuwa na mapungufu yote iliyonayo.
Mapungufu haya yanaonesha dunia haikuumbwa na Mungu.
Atakavyo yeye ni vipi?Mungu aumba atakavyo yeye Mungu sio utakavyo wewe.
Atakavyo yeye ni vipi?Mungu aumba atakavyo yeye Mungu sio utakavyo wewe.
Not only the biggest lie, but also the most dreadful disastrous ever invented by Man!God is the biggest lie created by people..
Hivyo unavyoona,ndio kaamua view hivyo,yeye Mungu.Atakavyo yeye ni vipi?
Ninavyoona ni vipi?Hivyo unavyoona,ndio kaamua view hivyo,yeye Mungu.
Hivyo hivyo,unavyoona wewe.Ninavyoona ni vipi?
Hujui ninavyoona lakini unajua ninavyoona kaamua Mungu iwe hivyo?Hivyo hivyo,unavyoona wewe.
Imani ya kuamini hakuna mungu inasema kisichokuwepo hakithibitishiki,hivyo hakuna uthibitisho katika hicho wanachokiamini lakini bado waumini wake wanaendelea tu kuamini.
Imani ya kuamini hakuna mungu inatumia muda na nguvu nyingi kukosoa imani zengine ili kukwepa kutoa ushahidi kwa kile wanachosema kuwa hakuna,kukosoa imani za wenye kuamini mungu haiwezi kuwa ni uthibitisho kwa wenye kusema hakuna mungu na ndiyo maana kusema hakuna mungu naita ni imani.
Kuna mambo ambayo yanawafanya watu kuamini kuwa kuna mungu,sasa ukija kumwambia kuwa hakuna mungu basi lazima atataka kupata majibu ya yale mambo ambayo yalifanya aamini mungu.
Sasa wanaoamini hakuna mungu wanaposhindwa kuyajibu husema kushindwa kuyajibu haifanyi kuwa mungu yupo.