'Who created God' is an Illogical Question!

Mungu yupo,kama wewe unavyojijuwa umepatikana kwa wazazi,hao hao wazazi ndio na wao wanajuwa wamepatikana vipi.Na ndio hivyo hivyo,wanaoamini uwepo wa Mungu,ni kutoka kwa wazazi hao hao.
 
Watu wana-act kama science ndiyo ina ushahidi wa origin of man. But trust me, white people degrades the black race with all these with these evolution tales. Yaani wewe unaambiwa ulitokana na nyani na unakubali kabisa?? Its a shame, mbona wenyewe hawajawahi kugundua mabaki yao. KWani white people wametoka wapi?? Thats why waafrica tunawaona wazungu superior sana, na sisi tutabaki kuwa daraja la chini no matter what...
 
Hii imani ya kutoamini kuwepo kqa Mungu,wameianzisha wagiriki ndio mwanzo wake,ikaja kwa wazungu,waafrika kama kina kiranga nao wakaidandia,bila kufikiria.Wagiriki walianzisha kwa lengo maalumu la kuangalia idadi ya wenye uelewa mdogo.
 

Huwezi kupata mabaki ya kale nje ya Africa kwa sababu origin of human species ni Africa. Species ya kwanza kuanza inayopatikana nje ya Africa ni Homo erectus na pia ipo Africa. Inaaminika ndiye aliyesambaa baada ya ugunduzi wa moto in Africa kipindi cha Homo habilis ilikuwa easy kutembea mbali na site na kuweza kuadopt new environment na kujikinga na wanyama. Homo Sapiens wa kwanza naye alitokea africa na kusambaa nje ya Africa. Akaweza kuinterbreed na Neanderthals.

Hivyo ni mageuzi yaliyoanza Africa na mwanadamu kuanza kusambaa nje ya Africa na kubadilika kutokana na mazingira na ndio sababu kuna Colour skins na hair textures ni adaptation ya ancestors katika mazingira waliyoishi kwa kipindi kirefu.

Mageuzi inagusa races zote, inakubali na kuthibitisha waafrica ndio gene ya pekee baba wa wanadamu. Hata DNA na RNA inadhibitisha hilo. Pia ndio sababu mabaki ya kale zaidi yapo Africa.

Theory ya mageuzi ndio iliyotumika kupinga ubaguzi wa Rangi katika historia. Hapo kale waliamini mwafrika ni species tofauti na wengine walisema ni ukoo uliolaaniwa. Evolutionists ndio walioanza kupinga ubaguzi.
 
Mkuu huyu bwege anatafuta kick kupitia jina lako!!!! wa kumpuuza tu hana hoja nimekuja apa nikategemea ntapata kitu kipya nimekutana na uharo ule ule wa kila cku!!!
 
Mungu yupo,hayo yote yalifanywa na Mungu,soma Qur'an,Mungu anasema nimemuumba mwanadamu kutokana na Udongo mweusi.Qur'an imetaja hayo,miaka ambao hata science haikulikani ni nini.
 
Unathibitishaje kuwa chochote ambacho hakipo hakipo?

Kitu kinaweza kuwapo halafu kisiwepo kwa wakati mmoja?
Inaezekana hukuelewa swali langu, ni sawa tu na anayeuliza unathibitishaje kuwa hakuna gari lenye speed ya 1999000 km/hr?
Mtu anaeza akatoa sababu yake yoyote ile inayoonesha hakuna gari la speed hiyo.
 
Inaezekana hukuelewa swali langu, ni sawa tu na anayeuliza unathibitishaje kuwa hakuna gari lenye speed ya 1999000 km/hr?
Mtu anaeza akatoa sababu yake yoyote ile inayoonesha hakuna gari la speed hiyo.

Nimekujibu kwa "Socratic Method" naona wewe ndiye hujanielewa. Ngoja ni assume unataka kutafuniwa kwa sababu Socratic Method huiwezi.

Nimethibitisha kwa contradiction.

Unafahamu contradiction ni nini?

Unaelewa jinsi contradiction inavyoonesha hii equation hapo juu haina solution?
 
Mungu yupo,hayo yote yalifanywa na Mungu,soma Qur'an,Mungu anasema nimemuumba mwanadamu kutokana na Udongo mweusi.Qur'an imetaja hayo,miaka ambao hata science haikulikani ni nini.

No one knows God 100%. Not even Quran. Mungu hatumjui yupo au hayupo, na hatujui aliumbaje hizi zote ni nadharia tu.

Kama tuliumbwa kwa udongo na viumbe wengine kama bacteria, Plants, Fungus, animals, na vingine vyote tunashare nature sawa ya kibiolojia kama cells, neva, sense, na 7 characteristics of living organisms zipo sawa kwa viumbe vyote?

Mbona na wanyama wana damu? Macho pua na kadhalika? Walitengenezwa kwa material gani na mbona tunafanana nao?

Je kama we are all the same?

Pia Quran imetaja ni miaka gani?

Karibu kutupatia somo!
 
..kwaio uchungu ndo unafanya watu wamuabudu Mungu so It was His way Of making people worshup Him???!?na hapo tunatoa sifa zote zake nzuri!!''u said Bila uchungu kusingekuwa na dunia before sin adam and eve lived here inawezekanaJe kusiwe na dunia sasa???
 
Kama hawa wanaokufa wangekuwa wanarud na kuja kutusimulia walichokikuta huko kaburin bac tungekuja kama kwel mungu yupo au hayupo
 
Mkuu kuacha kwako imani ya ukristo na kuwa Atheist unachukuliaje tukio hilo kwako?

Je,ni hali ya kutoka kwenye upotevu na kurudi kwenye njia iliyo sahihi yenye kutakiwa kufuatwa na kila mtu? Au kwako ni sawa na kutoka imani Moja na kuhamia imani nyengine? maana kuna Agnostics pia.
 
A hahahahahahaha Sasa mfano -Kama Mungu Ana Miaka zaidi ya Bilion 6 wewe Mwenye Miaka 30 utajua aje? Tafakari
 
Wote mna vichaa - au mmechanganyikiwa- ilipo ishia Sanaa dini huanzia...
Au una semaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…