'Who created God' is an Illogical Question!

Kukubali kuwa hakuna mungu ni imani,kwani hapa tusichoelewana ni kipi?
Ni imani katika framework gani?

Hata wewe kukubali kwamba upo ni imani. Inawezekana haupo ni software katika computer tu kama The Matrix.
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo bado.

Hilo ndilo la muhimu.

Kabla ya kuthibitisha Mungu yupo, lolote utakalosema litaandamwa na ukweli kwamba hujathibitisha kwamba Mungu yupo.
 
Hao wazazi wako nao walitengezwa na wazazi wao,huyo mzazi wa kwanza wa hao wazazi wa wazazi wako,alitengenezwa na nani?
 
If complexity must be designed, and the designer must be more complex, then the designer must also be designed.

By your logic, God must be designed, his designer must be designed and so on and so forth endlessly.

In this setup, there is no God.
You are wrong ! Because you think you intellectual capacity is without limit sir.
Look:-
1) with your naked eyes you can not see with clarity anything at a distance of 10km
2) the same with your hearing capacity
3) the same with your smelling

4)Then how do u think u can think without limitation.

What we think as our thinking department in our body system is a free given matter.and I believe not given at 100% level.
 
The fact that my thinking has limitation does not prove God exists.

In fact, the vast amount of ignorance the human mind possesses shows an all knowing, all loving and all capable God does not exist.

Why?

Human ignorance causes so much suffering. Unnecessary war, slavery dictatorships etc.

An all knowing, all capable and all loving God could not have created a universe in which such ignorance is possible, that would have contradicted Gods very nature.

We see such ignorance.

Therefore, such a God does not exist.
 
Hao wazazi wako nao walitengezwa na wazazi wao,huyo mzazi wa kwanza wa hao wazazi wa wazazi wako,alitengenezwa na nani?
Mimi niulize aliyenizaa, nami nitakujibu ni wazazi wangu.Kama unataka kujua nani aliwazaa wazazi wangu hadi yule mzazi wa kwanza, inabidi ukawaulize wao.
 
anaye sema Mungu ayupo siyo mtu wa kubishana naye kwasababu ndivyo anavyoamini msilazimishe sana na yeye amuamini Mungu kwasababu kila mtu hapa duniani ana utashi wake kwa mfano mm naamini Mungu yupo kwa 100% akuna yeyote wala chochote kitacho kuja kunishawishi kuwa Mungu ayupo na nikaamini jambo zuri kila mtu amini unachokiona ni sahihi katika maisha yako
 
That fact of yours is immaterial that the worldly calamities are a proof
That fact of yours is immaterial, that the worldly calamities are a proof of the absence of God !
What about the fortunes? What do they prove? The existence of God?
 
That fact of yours is immaterial that the worldly calamities are a proof

That fact of yours is immaterial, that the worldly calamities are a proof of the absence of God !
What about the fortunes? What do they prove? The existence of God?
If God's primary nature is goodness, you would not want to dismiss evil as immaterial.

That would be dismissing something that contradicts God.

Why did God create a world in which evil is possible while he had every capability, knowledge and love to create a world in which evil is not possible?

We do not say this father is a good father even as he killed his son on purpose, just because he takes good care of the daughter. Why are you excusing God?

God should be held to an even higher standard, afterall he is supposed to be omnipotent, omniscient and omni benevolent.
 
Mimi niulize aliyenizaa, nami nitakujibu ni wazazi wangu.Kama unataka kujua nani aliwazaa wazazi wangu hadi yule mzazi wa kwanza, inabidi ukawaulize wao.
Na wanaoamini Mungu ni hivyo,wameamini kwa kupitia kwa wazazi wao,na wazazi kwa kupitia wazazi wao,mpaka ikafikia kizazi cha sasa kilichopo.
 
Mimi niulize aliyenizaa, nami nitakujibu ni wazazi wangu.Kama unataka kujua nani aliwazaa wazazi wangu hadi yule mzazi wa kwanza, inabidi ukawaulize wao.
Kwanini hutaki kujua aliyewazaa wazazi wako hadi mzazi wa kwanza?
 
Kwanini hutaki kujua aliyewazaa wazazi wako hadi mzazi wa kwanza?

Na wanaoamini Mungu ni hivyo,wameamini kwa kupitia kwa wazazi wao,na wazazi kwa kupitia wazazi wao,mpaka ikafikia kizazi cha sasa kilichopo.
Hii mada imefika hadi ukurasa wa 80+ bila ya kupatikana majibu ya kutosha.

Ukweli ni kwamba hata nyie wenyewe hamna uhakika ama hamjui kama kweli Mungu yupo.

Mkijitafakari wenyewe kwa utulivu binafsi halafu mchunguze ni nini hasa mnachokiabudu, mtagundua kuna maswali mengi yanayoibuka na pengine kuwaacha njia panda.

Waliomuumba Mungu kwenye mawazo yao walishajifia zamani wamewarithisha watu hii dhana ya Mungu na kuieneza kwa watu.

Mungu + dini ni tamaduni za watu, ni kama mababu wa Afrika walivyokuwa na dhana potofu kuwa miti, miamba, ama milima ndiyo Mungu.Waliiabudu na kuitolea sadaka, waliitukuwa pamoja na mizimu ya watangulizi wao.

Vivyo hivyo kwa Miungu ya kwenye Bibilia, ni utamaduni wa waisrael(kama zilivyo tamaduni za makabila ya Afrika), wana mizimu yao kama kina Abraham, Isaka, na Yakobo.Ni watu waliokufa zamani lakini mizimu yao inatukuzwa kwenye makabila yao na kuenezwa nje ya makabila yao.

Kinachofanya hizi mila za wayahudi(dini) kuendelea kuwepo na kuenezwa ni ubabe na dharau kwa mila nyingine.Walizieneza hadi Ulaya kisha Afrika.Waliozipinga waliteswa sana na wengine waliuawa.

Dini na Mungu ni tamaduni za watu, hata sisi tulikuwa na za kwetu lakini kutokana na udhaifu wa mababu zetu, tamaduni zetu ziliuawa na kuwa replaced na hizi za wageni ambazo waafrika wanazienzi na kuziendeleza hadi leo kama Mnachokifanya hapa Jukwaani.
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo bado.

Hilo ndilo la muhimu.

Kabla ya kuthibitisha Mungu yupo, lolote utakalosema litaandamwa na ukweli kwamba hujathibitisha kwamba Mungu yupo.
Inaonesha ujumbe umefika.

Imani yenu ya ajabu,imeondoa kabisa suala la uthibitisho,. Inasema kisichokuwepo hakithibitishiki ila bado watu wanaendelea kuamini.

Imani yenu hata kama haina majibu ya maswali ya waumini wake ila bado watu wanaendelea kuamini tu.

Mmejificha kwenye mgongo wa sayansi.
 
Imani yako ikishindwa kujibu maswali inasema kushindwa kujibu maswali haifanyi kuwepo mungu.
 
Existence ya kitu haipimwi kwa macho tu.... Bali properties zake... u can not see utamu wa sukari but u can taste it...uwezi kuona ushuzi but u can smell it... hauwezi kuona sauti but u can hear it... hauwezi kuona baridi but u can sense it... kwa maana hiyo prove ya jambo lolote linafall katika sense organs 5 za mwanadamu...but proving if God exist can not be justified by just looking at the moon, sun etc.... the complexity of this matter bring people to hallucination.
 
We are going by elimination.

It is important to establish what is true and what is false and the reason.

Else we will not converge anywhere.

On that note. Are the Gods of the Bible and of the Quran for that matter, false?
You want to use the long way to reach destiny (conclusion) while there is a short and quicker way to get there, why? or you just like adventures (long debates)?

Maana yangu ni kuwa kwa nini utumie elimination na wakati kuna njia nzuri zaidi ya ku reasoning?

Kwa mfano utataka ku - eliminate Mungu wa Biblia baadae wa Quran baadae wa Budha etc. Huko kote uta debate sana, why utumie njia hiyo na wakati kuna njia rahisi?

Lets be smarter in arguing and reasoning, tusireason kama tupo kwenye vibanda vya kuuzia kahawa na kashata.

Evolution can never create a genetic code with a 3 billions letter of instructions that dictate and instruct cell on how and when to behave. Remember that we have trillions of cells each with unique instructions. Tusidanganyane.
 
How could a DNA evolve? Explain. If not evolved, then how and why it appeared. Who created gender? Does gender appear by chance? Be smarter!
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo bado.

Hilo ndilo la muhimu.

Kabla ya kuthibitisha Mungu yupo, lolote utakalosema litaandamwa na ukweli kwamba hujathibitisha kwamba Mungu yupo.
Unathibitishaje kuwa Mungu hayupo?
 
How could a DNA evolve? Explain. If not evolved, then how and why it appeared. Who created gender? Does gender appear by chance? Be smarter!
Did I say DNA evolved?

If I say I don't know the answer to a single of your questions, it does not prove God exists.

It just shows I don't know the answers to your questions.

Can you prove God exists?

DNA passes hereditary diseases.

If an all knowing, all capable and all loving God created DNA, why did he allow it to pass evil hereditary diseases while he could have disallowed that?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…