'Who created God' is an Illogical Question!

umeelewa qur an inavyochambuliwa niendelee kukuthibitishia kua qur an ni neno la mungu?
Quran si neno la Mungu kwa sababu ina clear contradictions lukuki.

Au nazo utasema nisizisome kama gazeti?
 
ndio zilete mkuu ili tuekane sawa kama hiyo ya kwanza ulioileta si umeshaelewa au hukuelewa kua mihuri wanagongewa waliotaka wenyewe kugongewa mihuri na kufunikwa macho yao
 
ndio zilete mkuu ili tuekane sawa kama hiyo ya kwanza ulioileta si umeshaelewa au hukuelewa kua mihuri wanagongewa waliotaka wenyewe kugongewa mihuri na kufunikwa macho yao
Sasa mimi leo ninesema Mungu hayupo.

Mungu kaniona nimetaka kugongewa muhuri kufunikwa moyo nisimjue.

Akanifunga moyo, masikio na macho nisimjue, wakati bado naishi.

Na hivyo wewe na mimi hapa JF hata tukijitahidi vioi ili mimi nimjue Mungu, hatutaweza kufanikiwa katika hilo.

Kwa sababu Mungu kashanifunga moyo, macho na masikio nisimjue.

Na Mungu akishafunga, hatuwezi kubadilisha.

Sasa kwenye hicho kitama mnachosema, Mungu akiniuliza "Kwa nini wewe hukunijua mimi na ulipinga kuwepo kwangu?" na mimi nikimjibu "Kwa sababu ulinifunga macho, masikio na moyo wangu nisikujue. Nina maelfu ya kurasa za maswali JF nukijaribu kukua lakini sikufaulu kwa sababu wewe ulishanifunga moyo, masikio na macho nisikujue kabla sijafariki". Huyo Mungu atajiteteaje?

Kwa nini Mungu afunge moyo, masikio na macho ya mtu wakati mtu bado anaishi?
 
Wapi nimeandika hilo?

Nikuulize wewe.

Unajua kuhesabu?

Unajua Kiswahili?

Umeelewa nilichoandika?
Unachoshindwa kunielewa ni pale unapoanza kutaja imani unazoona si sahihi wakati mie nimekuuliza kipi kinajulisha ipi ni imani sahihi na ambayo si sahihi.
 
Unachoshindwa kunielewa ni pale unapoanza kutaja imani unazoona si sahihi wakati mie nimekuuliza kipi kinajulisha ipi ni imani sahihi na ambayo si sahihi.
Nimekuuliza swali hapo juu naona umeliruka ama kwa ukosefu wa umakini katika kusoma, ama kwa kulisoma vizuri na kulielewa na kutaka kutolijibu.

Naomba uniambie kati ya mawili hayo lililo sahihi ni lipi.

Nimekuuliza, kwa nini unafikiri ni "kipi" kimoja?
 
We ulitaka watoke wapi?
Kama kweli kuna hoja za msingi za kumfanya mtu aache kuamini uwepo wa mungu kwanini iwe imani ya kikristo ndiyo wengi wanakubali hizo hoja na imani zengine vp? Ingetakiwa imani zote wazione hizo hoja na si imani moja tu ndiyo iwe inatoa wapinga mungu wengi.

Halafu mkitoka hapo mnasema mmefanya uchunguzi na ndiyo ukafikia kugundua kuwa hakuna mungu,ugunduzi huo unafanywa na wakristo tu pekee?.
 
Kwa hiyo ma Atheist wote walikuwa wakristo?
 
Hakuna niliposema "kipi" ni kimoja au hata kumaanisha hivyo.
 
Mkuu hivi kwanini wapinga mungu wengi wanatokea kwenye imani ya ukristo?

Nimeuliza sana hili swali ila sijibiwi,labda wewe unaweza ukawa na jibu.
..kwasababu christians wanakua Good Judges wa watu wengine alaf Pia biblia ambayo ndo msingi wa Imani Yao ina contradictions za kutosha na issue Ya kupinga dini haipo kwenye ukiristo tu it stretches through all religions
 
..thats the problem,the answers are found through FAITH AND TRUST sio kwa willingness anaetaka kuyafahamu hata asipoamini
 
..death is Life maana we are part of the universe na tunategemeana so one must die so that other lifeforms should exist since "energy haiwezi kuwa created au kuwa destroyed but rather transformed into other states" mfano ukiwa utaoza kutoa nutrients to the soil ambazo mimea itafyonza kutengeneza chakula ambacho yupo mtu atakula and so and so kwaio huwezi kuzuia death maana w/o it hakuna Life
Issue Ya uncertainity,fear na stress inalie kwa mtu mmoja na mwingine but ukiapply law of attraction(like attracts Like) ndo utaelewa source Ya ivo vyote
 
..wewe unaesema Yupo,do u have prove kuwa Yupo thats the main theme of the thread maana hayo mengne Yanabaki kuwa mchezo wa pata potea eti kwasababu siJui niamini tuu,no way!!!
 
Can you prove God exists at all?
Yes;
By the design and purpose base.
You can prove the existence of The designer (GOD)
EXAMPLES
1) THE TWO GENDER WE HAVE IS NOT AN ACCIDENT. IN A WOMAN THE MOST SENSITIVE PART IN TERMS OF SEXUAL MATTERS (THE CLIT) IS NOT ON IT'S POSITION AS AN ACCIDENT. IT WAS A DESIGNED POSITION FOR THE PURPOSE OF MAXIMUM STIMULATIONS BY THE PARTNER
2)WHEN IN YR MOM WOMB U FEED BY A SYSTEM OF PIPE FROM MOM TO U .BUT JUST AFTER BIRTH YOU SWAP TO THE BREASTS. THAT IS NOT AN ACCIDENT. DESIGN AND PURPOSE (IS GOD) HOW HE STARTED IS BEYOND OUR 100 GRAMME WHITE PORRIDGE.
 
..sasa wewe unaefahamu kuran c ungekuja na huo uthibitisho haraka haraka tuokoe muda maana hapa inabidi nianze tena tuition Ya alifu ndo niweze kusoma na kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…