Unapimaje u-shaghalabagala wa kitu? Unapimaje kitu kama kiko kwenye order au la?Contradiction ni kitu kibaya kwa sababu mfumo wenye contradiction uko shaghalabaghala na haueleweki. Inaonyesha lack of order, inaonesha uongo.
Kuna tatizo gani kusema kiranga yupo na hayupo at same time in the same sense?Ukikubali contradiction haina ubaya, unakubali kuishi kwenye ulimwengu ambao Mungu yupo na hayupo kwa wakati mmoja.
Kama hakuna Mungu hakuna maana. Maana unaitoa wapi?Ukikubali kuishi katika ulimwengu ambao contradiction haina ubaya, umekubali kuishi katika ulimwengu ambao 1=2=3=4=5=6=7 etc, namba hazina maana.
Kwani kuna tatizo gani kuishi katika dunia ya namna hiyo?Ukikubali kuishi katika ulimwengu ambao contradiction si mbaya, umekubali kuishi katika mfumo ambao a=b=c=d=f=g=h=...z.
Kama hakuna Mungu hakuna order ni chaos kama ulivyoandika. Bahati mbaya kwako ni kuwa Mungu yupo na siku ya siku utakutana naye na huna la kufanya kuhusu hilo!Hebu niendelee kuandika post hii kwa mfumo huu ambao contradiction si mbaya, ili ujue, maneno haya ya chini ni ya Kiswahili, lakini yameandikwa katika mfumo huo wa contradiction
Hebu soma halafu niambie nimeandika nini.
Ajwqh hwerskl jwiskl jqapwerkts wetsuyqmklop weutdfgjk lwdhjk yrelkgfewang bhktrar. Mjklift hukfds bkhdfsn nrkhgfdd ccsjkhl nmkplewsa hgjkl mnbdjk, yhb tfde tjko njkl mmnfedsawecxzs ghn. Jkh klo nnmjo klew ght jkh gt ddsh kl okljngnbdd ght kjlkk hdsaw, huytrr fjkh lkfgresfdxcvgb nujhnjk. Mjnkg hngddrsekj kijlk njkmk jgl kmonfra fgnhjikj reanm ngga dr gu hkk jnmn nkggfdffkufkjbjlhb bhjfdas hyjurewesa kjmokmn ghnokjh klyrasqgft chj kilfrhgfdesrswa njijuhgf dreswa grtesra gtreseaw hji hujinkmj mkople gld gb njhm
truth table unaipimaje?Kwa truth table.
Mimi mwanadamu nimpime Mungu? Are you out of your mind? Can infinite be measured by a finite?Wewe unampimaje Mungu?
Where did i say otherwise?God isn't a physical being...
I'm just reminding you.
God is spirit
Unapimaje u-shaghalabagala wa kitu? Unapimaje kitu kama kiko kwenye order au la?
Kuna tatizo gani kusema kiranga yupo na hayupo at same time in the same sense?
Kama hakuna Mungu hakuna maana. Maana unaitoa wapi?
Kwani kuna tatizo gani kuishi katika dunia ya namna hiyo?
Kama hakuna Mungu hakuna order ni chaos kama ulivyoandika. Bahati mbaya kwako ni kuwa Mungu yupo na siku ya siku utakutana naye na huna la kufanya kuhusu hilo!
Sasa mbona unauliza maswali ya vipimo kama vile vipimo ni kitu muhimu sana kwako, lakini wewe huyu unayevipa vipimo umuhimu sana unashangaa nikikuuliza vipimo vya kitu muhimu kabisa?truth table unaipimaje?
Mimi mwanadamu nimpime Mungu? Are you out of your mind? Can infinite be measured by a finite?
Ni muhimu kwangu. Hata kama kwako sio muhimu wewe jibu tu!Sasa mbona unauliza maswali ya vipimo kama vile vipimo ni kitu muhimu sana kwako, lakini wewe huyu unayevipa vipimo umuhimu sana unashangaa nikikuuliza vipimo vya kitu muhimu kabisa?
Vipimo ni vitu muhimu kwako?
Kama ni muhimu kwako kwa nini unashangaa nikikuuliza kama unaweza kumpima Mungu?Ni muhimu kwangu. Hata kama kwako sio muhimu wewe jibu tu!
Huyo sio uthibitisho,hayo ni maelezo.Kinachotakiwa ni uthibitisho,ili tuujuwe huo ubaya.Nimekwambia kuua ni ubaya, kuchukua maisha ya asiyetaka kuuawa ni ubaya.
Ndiyo maana sheria za nchi zinakataza kuua.
Hilo halitoki kwenye kitabu chako cha dini ulichokikana.
Huyo sio uthibitisho,hayo ni maelezo.Kinachotakiwa ni uthibitisho,ili tuujuwe huo ubaya.
Thibitisha ubaya ulivyo,usikwepe swali,badala ya kuthibitisha ,waleta maelezo yasiothibitika.Uthibitisho unakuwaje? Unaweza kuthibitisha uthibitisho ulivyo?
Wewe umethibitisha Mungu yupo?
psalm 14:1Ni muhimu kwangu. Hata kama kwako sio muhimu wewe jibu tu!
Toa uthibitisho wenye uthibati,ili hoja zako zisiwe na shaka kwako mwenyewe na anayekufatilia.Kama ni muhimu kwako kwa nini unashangaa nikikuuliza kama unaweza kumpima Mungu?
Kwa nini unakubali Mungu yupo wakati huwezi kumpima?
Kwa nini unakubali Mungu yupo wakati ana contradiction?
Huoni kwamba wewe mwenyewe una ji contradict hapo kwa kusema vipimo ni muhimu halafu unakubali kitu ambacho huwezi kukipima?
Kama umeshindwa kutuambia truth table inapimwaje na wakati huo ndio msahafu wako wa kupima ukweli wa mambo hauoni kuwa umefeli vibaya mtihani wako mwenyewe? Unadai Proof za uwepo wa Mungu na hauwezi ku prove source ya authority yako? Sasa kabla haujadai proof za Mungu na Biblia uje na proof za source zako za authority kama ulivyodai hapo juu ambazo ni hiyo truth table.Kama ni muhimu kwako kwa nini unashangaa nikikuuliza kama unaweza kumpima Mungu?
Kwa nini unakubali Mungu yupo wakati huwezi kumpima?
Kwa nini unakubali Mungu yupo wakati ana contradiction?
Huoni kwamba wewe mwenyewe una ji contradict hapo kwa kusema vipimo ni muhimu halafu unakubali kitu ambacho huwezi kukipima?
Nimethibitisha hujaridhika. Nikakuuliza unataka uthibitisho wa aina gani? Unaweza kuthibitisha kwamba huo ndio uthibitisho?Thibitisha ubaya ulivyo,usikwepe swali,badala ya kuthibitisha ,waleta maelezo yasiothibitika.
Uthibitisho wenye uthibati ndio unakuwaje kwako?Toa uthibitisho wenye uthibati,ili hoja zako zisiwe na shaka kwako mwenyewe na anayekufatilia.
Inaonyesha hata wewe mwenyewe hoja zako hujazifanyia ithibati,kupitia uthibitisho,wenye kujithibitisha bila mwenye kuthinitisha na mweyewe kuthibitishiwa kuwa na shaka ya hiyo ithibati.
Wewe unayeona vipimo ni kitu muhimu unaweza kumpima Mungu?Kama umeshindwa kutuambia truth table inapimwaje na wakati huo ndio msahafu wako wa kupima ukweli wa mambo hauoni kuwa umefeli vibaya mtihani wako mwenyewe? Unadai Proof za uwepo wa Mungu na hauwezi ku prove source ya authority yako? Sasa kabla haujadai proof za Mungu na Biblia uje na proof za source zako za authority kama ulivyodai hapo juu ambazo ni hiyo truth table.
Vinginevyo opinions zako sio za muhimu kwa sababu zinatokana na unproven source na kwa utaratibu wako ni kuwa kama hakuna proof hicho kitu hakipo. Kwa hiyo So far, truth table haipo mpaka utakapoleta proof. Na kwa sababu hiyo basi, logic haipo mpaka proof yat truth table inayo i prove logic ikiletwa then you can argue.
See why God said the fool have said in his heart there is no God?
Wewe si unao uthibitisho,uliyo kufanya,ukapata ithibati ya Mungu hayupo,toa uthibitisho bila kukinzana,na bila kutumia chanzo usichokiamini,kinachokinzana na upande unaokinzana nao.Nimethibitisha hujaridhika. Nikakuuliza unataka uthibitisho wa aina gani? Unaweza kuthibitisha kwamba huo ndio uthibitisho?
Uthibitisho wenye uthibati kwakonukoje? Viwango ganinvinatakiwa ili kusema huu ni uthibitisho wenye uthibati ili nijue kablabya kujupa uthibitusho?Kiranga anakwepa kutoa uthibitisho wenye ithibati,wa kituthibitia mabaya yako vipi.Kwa kutumia nyezo,zisizo kinzana,pande pande ya ukinzani na pande inayokinzaniwa.