We si unasemaga haiwezekani kuthibitisha kisichokuwepo?Yes.
By logical contradiction.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ni contradiction. Hujaweza kuiondoa contradiction hii.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Unaweza kuondoa hiyo contradiction?
Hujathibitisha.Umujuwaje kama kuna mabaya.Imethibitisha vipi kama ni mabaya.Yes.
By logical contradiction.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ni contradiction. Hujaweza kuiondoa contradiction hii.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Unaweza kuondoa hiyo contradiction?
Kwa nini unataka uwe unlimited.Nimeuliza kwa nini Mungu aniumbe nikiwa limited?
Hapana.We umeniambia kuwa kwa sababu siwezi kuthibitisha kitu ninachokiamini hivyo naamini kitu chenye contradiction.
Au sikukuelewa vizuri?
That statement is always qualified that one cannot prove something does not exist outside of a logical context.We si unasemaga haiwezekani kuthibitisha kisichokuwepo?
Kwa hiyo unasema duniani hakuna mabaya?Hujathibitisha.Umujuwaje kama kuna mabaya.Imethibitisha vipi kama ni mabaya.
Kabla ya kusema Mungu aliumba hivi na vile...Kwa nini unataka uwe unlimited.
Mungu aliumba limited universe ambayo sio hiyo tu bali hata wewe mwenyew hujajijua 100% na kila kitu ambacho ungehitaji kwenye maisha yako na ambacho kipo within your limit sio wewe tu dunia nzima wameshagundua asilimia chini ya moja. wabishi wote wanapochunguza malimwengu wanakutana na maswali yasiyo na majibu. why claim for unlimitedness while you know nothing on things that are within your limit. he created you to be limited for his own glory and for you to enjoy the world
hakuna anayemfagilia maana yeye hana haitaji hilo hata usipomkubali ana millions of galaxies with trillions of suns abd stars eith unnumbered planets and object all those are the work of his creation and appreciate him in wonderful way. whom am i a minute creature nimfagilie ili nipate favour. hapa ni kweli he is God. the creator of everything. it is upon any living being to accept or deny but that doesnt change the reality. angeshangaa sana kama kungekuwa na watu wasiouliza haya maswali ya wakina kiranga. ni haki yao kama living organism living as citizen of this universeUnafikir kumfagilia Mungu hivyo ndio kwenda peponi?? Unaweza ukampinga na ukaenda peponi pia... matendo ya mtu ndio kipimo... huenda nikawa naswali, huenda nikao kwa taratibu za kidini... but nikubaliane na kila ninaloambiwa. Ndio maana kwa ulimwengu wa sasa na ule uliopita zama hizo kuna tofauti kubwa mno...(kizazi cha jua linazunguka dunia). Vile namfikira babu yangu ambae alikuwa na jina la asili... je, alikuwa kwenye kundi gani.. its obvious ni kundi lile lililokuwa linaamin Mungu yuko juu.. kwenye anga ya blue. Yaani ukitoboa kwenye anga ya blue basi utakuwa kwenye imaya yake... waliamini mpaka wamekufa, wakiwa na hayo na mawazo... kitu ukiwa haikujui lazima utakiwaza tofauti na uhalisia. Mfano ukitajiwa Mungu ni jinsi gani unam-decode... unapata picha ya aina gani?? Physical au non physical... (unaposema yupo hai, tunazungumzia uhai kwa namna ipi kama ya kwetu sisi??) ... or hayupo hai wala mfu.... ni Mungu hawezi kuwa na attributes zangu...( his attributes must be unique...). Nadhani tunazungumzia concept ya Mungu but ikiwa na very big variations... which to me naona no nonsense. (If I can't use my brain kujaji... nitajuaje kwmba sheikh au padri ndie anaesema ukweli???)
Kama hakuna cha ajabu basi badala ya jua kuchomoza mashariki kila siku na kuzama magharibi, lifanye jua lichomoze kutoka magharibi na kuzama mashariki angalau kwa siku moja.
Toa uthibitisho,haya mabaya yalivyo.Kwa hiyo unasema duniani hakuna mabaya?
Kama duniani hakuna mabaya Mungu wako anataka kuwahukumu watu kwa sababu gani?
Unaamini vitabu vya Mungu?Toa uthibitisho,haya mabaya yalivyo.
Wewe umenambia Mungu hayupo,ambaye hayupo atakuwaje na vitabu?Unaamini vitabu vya Mungu?
naona unazunguka kama pendulum bob. umeanza na swali hili. ikafika wakati scientifically proven there is supernatural being behind all these. nikakuomba ulete list ya weewe unadhani what can present his causative agent ili tuone kama unaoption beyond God with similar features. unarudi tena kule ulikotoka na swali lile.ni kama mtu alieamua kutafuta square root ya moja . twende tulipokomeaKabla ya kusema Mungu aliumba hivi na vile...
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Jibu swali... ulitaka aulize unaamini vitabu??? Umeulizwa muumin... jibu swali. Ndio au hapana??Wewe umenambia Mungu hayupo,ambaye hayupo atakuwaje na vitabu?
Mazee.Wewe umenambia Mungu hayupo,ambaye hayupo atakuwaje na vitabu?
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo unarukia kusema Mungu kaumba hili na lile.naona unazunguka kama pendulum bob. umeanza na swali hili. ikafika wakati scientifically proven there is supernatural being behind all these. nikakuomba ulete list ya weewe unadhani what can present his causative agent ili tuone kama unaoption beyond God with similar features. unarudi tena kule ulikotoka na swali lile.ni kama mtu alieamua kutafuta square root ya moja . twende tulipokomea
Vitabu vipi?Vipo vitabu aina nyingi.Jibu swali... ulitaka aulize unaamini vitabu??? Umeulizwa muumin... jibu swali. Ndio au hapana??
Anaogopa akinijibu ujinga wake utaonekana.Jibu swali... ulitaka aulize unaamini vitabu??? Umeulizwa muumin... jibu swali. Ndio au hapana??
Vya Mungu unayemuamini.Vitabu vipi?Vipo vitabu aina nyingi.
Ujinga anao yule anayekataa,uwepo wa Mungu,halafu akuulizia kuhusu vitabu vya huyo asiyekuwepo.Anaogopa akinijibu ujinga wake utaonekana.