Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Do you know that:immanent critique was a core of critical theory?Immanent critique is criticism from within.
Example, criticizing the Bible, Quran or belief in God by first taking their propositions as true, and finding faults with the propositions, as opposed to criticizing the propositions as false outright from externally.
Apparently you were not familiar with this concept, that is why you did not understand my immanent criticism.
And therein lies the problem.
I am arguing with an illiterate nincompoop.
Do you know that:immanent critique was a core of critical theory?
Ukipiga simu anaweza kukudanganya kirahisi tu kuwa yupo nyumbani kumbe yupo klabu cha pombe then ukawa na imani hewa kuwa yupo nyumbani!!Nimekuuliza swali ila ukiona kupiga simu sio njia sahihi basi unaweza kueleza wewe njia sahihi.
Nimekwambia toa wewe njia sahihi ya kujua kuwa rafiki yangu yupo nyumbani.Ukipiga simu anaweza kukudanganya kirahisi tu kuwa yupo nyumbani kumbe yupo klabu cha pombe then ukawa na imani hewa kuwa yupo!!
Of course tunapozungumzia kuthibitisha kwenye huu uzi tuna maana zitumike njia za kisayansi kama vile experiments,testing,researches e.t.c kuthibitisha na siyo traditional methods kama vile kumpigia simu!Nimekwambia toa wewe njia sahihi ya kujua kuwa rafiki yangu yupo nyumbani.
Mkuu unanielewa lakini? Nimekwambia toa mfano wa njia yeyote unayoona ni sahihi.Of course tunapozungumzia kuthibitisha kwenye huu uzi tuna maana zitumike njia za kisayansi kama vile experiments,testing,researches e.t.c kuthibitisha na siyo traditional methods kama vile kupiga simu!
Hujanijibu swali languWhat has that got to do with the price of pork in China?
Leo umejua hilo baada ya mimi kukufundisha kwamba kuna kitu hicho.Kwamba kuna "immanent critique"
Kabla ya kukueleza hilo ulikuwa hata hujui "immanent critique" ni nini, ndiyo maana nilivyotoa "immanent critique" ukaishangaa na kuihoji.
Nimekujibu ila hujui kusoma tu.Hujanijibu swali langu
Niliyekujulisha ni mimi kama kuna immanent critique,ulikuwa hujuiNimekujibu ila hujui kusoma tu.
Wewe ndiye hujanijibu swali langu.
Umekubali kwamba ulikuwa hujui "immanent critique" ni nini mpaka nilivyoitaja na nilivyokueleza?
Tunaweza kufanya yafuatayo:Mkuu unanielewa lakini? Nimekwambia toa mfano wa njia yeyote unayoona ni sahihi.
Ila tufanye kwamba nishathibitisha kuwa rafiki yangu kuwa yupo nyumbani tena kwa njia sahihi kabisa,je,baada ya hapo ndipo natakiwa kuamini kuwa rafiki yupo nyumbani baada ya kuthibitisha?
Duh!Tunaweza kufanya yafuatayo:
1.Tunaweza kujua kama siku hiyo atakuwa nyumbani kwa kufuatilia ratiba yake ya kila siku ili kujua mda huo kwa siku hiyo atakuwa wapi
2.Tunaweza kumpigia simu jirani yake atuzibitishie kama yupo hapo nyumbani au laa
3.Tunaweza kutumia ndege zisizo na rubani(drones)kutupa live video kujua kama yupo nyumbani na kama yupo anafanya nini na anachokifanya kitachukua mda gani ili kujua kama tutamkuta
4.Ninaweza kumtuma trusted mtangulizi ambae ataenda hadi nyumbani kwake ili anizibitishie kama jamaa yupo kwa njia ya simu
NB:Njia zote nne zitafanyika kwa wakati mmoja
Ndiyo,hasa kwa kutumia ndege zisizo na rubani(drones) kwani technologia hii ilisaidia sana hata wamarekani kuamini kuwa Osama bin laden anaishi Abbottabad Pakstani na ilikuwa ni kweli!!Duh!
Haya kwahiyo baada ya kuthibitisha ndiyo natakiwa kuamini kuwa rafiki yangu yupo?
Sasa kwanini uamini sasa baada ya kuthibitisha?kwani kuamini maana nini?Ndiyo,hasa kwa kutumia ndege zisizo na rubani(drones) kwani technologia hii ilisaidia sana hata wamarekani kuamini kuwa Osama bin laden anaishi Abbottabad Pakstani na ilikuwa ni kweli!!
imani ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo,na njia pekee ya kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo ni kwa kuthibitisha kwanza juu ya hayo mambo ndo maana wamarekani walithibitisha kwanza juu ya uwepo wa Osama kula Abbottabad kabla ya kuamini yupo huko!Sasa kwanini uamini sasa baada ya kuthibitisha?kwani kuamini maana nini?
Sawa mkuu nimekupata,kwa maelezo hayo maana yake hata Kiranga hakuwa sahihi na imani yake.imani ni kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo,na njia pekee ya kuwa na uhakika na mambo yatarajiwayo ni kwa kuthibitisha kwanza juu ya hayo mambo ndo maana wamarekani walithibitisha kwanza juu ya uwepo wa Osama kula Abbottabad kabla ya kuamini kwanza!
Kitu unachofanya Kiranga ni kucheza na laws of contradictions, law of logics and etc in your favour. Sio Juhudi za dhati za kutaka kumjua Mungu, ila ni Juhudi za dhati za kum diszprove Mungu.Saying God is without issue or similitude after saying God is an infinite and eternal being is contradictory.
Unasema Mungu hana mwisho halafu unasema Mungu hana mfano.
Ukishasema Mungu hana mwisho ushamfananisha Mungu na kutokuwa na mwisho, hivyo huwezi kusema hana mfano wakati ushamfananisha tayari.
Contradiction.
Kitu unachofanya Kiranga ni kucheza na laws of contradictions, law of logics and etc in your favour. Sio Juhudi za dhati za kutaka kumjua Mungu, ila ni Juhudi za dhati za kum diszprove Mungu.
Its better to find God through prayers and ask him a lot of questions you want, than to try to find God or disprove him through occurrence of events for which you don't exactly know the reasons for occurrence because you are not God.Likewise to natural disastrous,What was he doing at the exact moments when earthquakes and hurricanes hit Haiti?
Was he aware of the situations but decided not to rescue Haitians from miseries?...then he has no love to all people.
Was he eager to rescue Haitians but he was unable to do so?....then he is unable to do everything.
He was willing and able to do so but he did nothing because those disastrous are processes incorporated in his creation.....then he is not a masterdesigner.
Naomba list kama ipo tufanye chaguzi, Ili tujue kwa nini asiwe MunguWatu wamesema unknown agent.
Kwa nini hiyo unknown agent ni lazima iwe Mungu?
How can I distinguish prayer from my fantasy?Its better to find God through prayers and ask him a lot of questions you want, than to try to find God or disprove him through occurrence of events for which you don't exactly know the reasons for occurrence because you are not God.