Kumbuka mie nimeuliza swali kutokana na jinsi ulivyothibitisha imani yako ya kuamini kuwa mimi nitaona post yako.Imani yao nani?
Mungu kuonekana maana yake nini?
Tushaona kwamba kuonekana kitu haina maana kipo.
Nimetoa mfano wa mirage jangwani.
Ushawahi kusikia habari ya mirage?
Mungu atakapothibitishika in a logically consistent way watakuwa sahihi.Kumbuka mie nimeuliza swali kutokana na jinsi ulivyothibitisha imani yako ya kuamini kuwa mimi nitaona post yako.
Uthibitisho wa imani yako kwamba mimi nitaona post yako,ni hadi mie nilipojibu post yako kwa kunukuu ndipo ikawa usahihi wa imani yako. Na ndiyo maana kwa mfano huo nikakuuliza ina maana na wanaoamini mungu imani yao itakuwa sahihi hadi pale mungu wanayemuamini watakapomuona au kuonekana ili ndiyo kuweza kujua kuwa imani yao ni sahihi?
DNA causes hereditary diseases.
An omnipotent, omniscient and omni benevolent God would not create a universe in which such an evil would be possible.
DNA does not show such a God exists.
It shows he does not exists.
Link yako imebuma.
Link yako imebuma.
Some mutations in DNA causes diseases.
Why would an all knowing, all loving and all capable God create a universe in which this evil is possible?
You have not answered this question.
Kumbuka mie nataka mfano wa uthibitisho wa jambo la imani na ndiyo maana nikakuomba utoe mfano wa jambo unaloliamini kisha uthibitishe hicho unachokiamini.Mungu atakapothibitishika in a logically consistent way watakuwa sahihi.
Sasa hivi wanasema Mungu yupo wakati ana contradiction.
Hawapo sahihi kama mtu anayesema pembetatu ni duara katika Euclidean Geometry.
Why did an omnipotent, omniscient and omni benevolent God create a universe in which evil is possible while he could have created a universe in which evil os not possible?
You are not answering my questions.
Nitoe mfano mara ngapi?Kumbuka mie nataka mfano wa uthibitisho wa jambo la imani na ndiyo maana nikakuomba utoe mfano wa jambo unaloliamini kisha uthibitishe hicho unachokiamini.
Yawezekana mifano ndiyo ikatufanya tukawaelewa vizuri katika kuweza kuthibitisha imani yetu ya kuwepo kwa mungu. Maelezo patupu yameshindwa kuwathibitishia na ndiyo maana hadi leo mnasema hatujaweza kuthibitisha kuwepo kwa mungu.
Umetoa mfano na ndiyo nataka tujadili kwa mifano ili tuweze kuelewana vizuri.Nitoe mfano mara ngapi?
Unajua kusoma?
Imani yenu itakuwaje sahihi kabla ya kuthibitishwa?Umetoa mfano na ndiyo nataka tujadili kwa mifano ili tuweze kuelewana vizuri.
Na ndiyo maana kwa kutumia mfano wako wa kuamini kuwa mie nitaona post yako,ndipo nikakuuliza na tunaoamini kuwa mungu yupo imani yetu itakuwa sahihi hadi pale mungu atakapoonekana ili ndiyo tuwe sahihi? Kama ambavyo mie hadi niliponukuu post yako ndiyo imani yako ikawa sahihi?
Ndiyo maana nikakuuliza kuwa na sie tunaoamini mungu yupo imani yetu itakuwa sahihi hadi mungu atakapo onekana? Kwa maana ndiyo itakuwa uthibitisho wa imani yetu.Imani yenu itakuwaje sahihi kabla ya kuthibitishwa?
Kama Mungu hayupo na mnachoamini ni hadithi kavu tu, imanibyenu itakuwaje sahihi?
Sio sahihi,swala la sisi kuumbwa ni jinsi utakavojilazimisha kuamini.Huwezi kuwa na mungu akaumba wanadam vilemaKwanza kinatengenezwa ndio kikazunduliwa.Gari hutengenezwa kwanza halafu ndio inazunduliwa.
Kutengenezwa=kuumbwa
Kuzaliwa=kuzinduliwa
Kinachozaliwa kinaumbwa kwanza ndio kikazaliwa.
Na mimi nimekuuliza. Imani yenu itakuwaje sahihi kabla ya kuthibitishwa?Ndiyo maana nikakuuliza kuwa na sie tunaoamini mungu yupo imani yetu itakuwa sahihi hadi mungu atakapo onekana? Kwa maana ndiyo itakuwa uthibitisho wa imani yetu.
Ninamuelewa kwa kupata vithibitisho vya alivyosema na kazi zake kinamtangaza. Kuna wengine waliishia kuamanini ikatosha. Kwa sababu wanaamini UKWELI/Truth wanapata faida ileile ya na mtu aliyeamua kuzama na kutafuta valitity ya truth kwenye science, fossils, and nature. Wote tunakutana kwenye junction moja, Mungu Yupo na kazi zake zinautangaza uweza wake. Kama unataka kuwa na endless findings badala ya kuchakua uongo wa evolution ect unashauriwa kufanya research juu ya kazi zake napo utapata majibu haid yakukinai. Ndko watu wenyenyekevu wameamua kuwekeza.Kama watu wote wameumbwa na Mungu, kwa nini wawepo wanaomwamini na wengine wanaomwelewa?
Unamwelewa Mungu kwa namna gani?
Unajua Bible ni kitabu chenye makosa na mikanganyiko?
Unaweza kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayemwelewa?
Dhana ya Mungu mjuzi wa yote na mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu huu unaoruhusu maovu ina contradiction.Ninamuelewa kwa kupata vithibitisho vya alivyosema na kazi zake kinamtangaza. Kuna wengine waliishia kuamanini ikatosha. Kwa sababu wanaamini UKWELI/Truth wanapata faida ileile ya na mtu aliyeamua kuzama na kutafuta valitity ya truth kwenye science, fossils, and nature. Wote tunakutana kwenye junction moja, Mungu Yupo na kazi zake zinautangaza uweza wake. Kama unataka kuwa na endless findings badala ya kuchakua uongo wa evolution ect unashauriwa kufanya research juu ya kazi zake napo utapata majibu haid yakukinai. Ndko watu wenyenyekevu wameamua kuwekeza.
Kama watu wote wameumbwa na Mungu, kwa nini wawepo wanaomwamini na wengine wanaomwelewa?
=== FREEDOM OF CHOICE, Na hapa ndio unatofautiana na wanyama, Umeshaelezwa na utaendelea kuelezwa .
Unajua Bible ni kitabu chenye makosa na mikanganyiko?
Kingekuwa hakina ungeamini Mungu Yupo? Umesimamia wapi. Unaweza kuona makosa lakini kwa sababu kimeandikwa na watu mbalimbali kwa vipindi mbalimbali na mipishano inayojitokeza inaongeza hamasa ya kuendelea kijifunza zaidi maana siku ukiamini kuwa umeelewa kila kitu ndio mwanzo wa kupotoka. Kipo kitabu Quran wanadai hakina Makosa, Nilitegemea kumwamini Mungu kwa njia hiyo kama Mapishano yanakufanya kujusfy kutokuamini kwako.
Sio Mimi tu hata wewe ni ushahidi wangu wa kwanza. Kaa relax study yourself utapata Jibu.
Hili swali nimeshalijibu,wanasayansi wote wanaohusiana na utabibu,wamesema wazi,mtoto anapozaliwa kilema ni makosa ya kibinadamu,mama mjamzito kuchelewa kufika clinic mapema na utumiaji wa dawa bila utaalamu maalumu.Sio sahihi,swala la sisi kuumbwa ni jinsi utakavojilazimisha kuamini.Huwezi kuwa na mungu akaumba wanadam vilema
Hayo maswali unayoniuliza mie ndiyo nayokuuliza wewe,nimeuliza uthibitisho wa imani yetu kuwa ni sahihi ni kuonekana mungu tunayemuamini kuwa yupo?Na mimi nimekuuliza. Imani yenu itakuwaje sahihi kabla ya kuthibitishwa?
Nikisema nakuja nyumbani kwako, nikiwa na imani kwamba upo nyumbani, nikafika na kukuta haupo nyumbani umeenda shamba, imani yangu kwamba upo nyumbani ilikuwa sahihi?
Kwa nini ufikiri imani yenu itakuwa sahihi hadi Mungu atakapoonekana wakati imani yenu ina contradiction?
Wapi umeniuliza endapo hutojibu kwa kunukuu post yangu imani yangu itakuwa potofu?Hayo maswali unayoniuliza mie ndiyo nayokuuliza wewe,nimeuliza uthibitisho wa imani yetu kuwa ni sahihi ni kuonekana mungu tunayemuamini kuwa yupo?
Na nilikuuliza endapo mie sitojibu kwa kunukuu post yako je imani yako itakuwa ni potofu?hukunijibu ila matokeo yake unakuja kuniuliza swali mfano wa hili.