and in first place I was not talking about those theories,,,,you said we were created and I said no I was born not createdBrother I am not asking kuhusu theories zilizopo
Nakuuliza wewe kama Sammoo theory gani ambayo umeiaccept.
Hiyo theory inakwambia Origin ya man ni wapi?
Evolution na Origin ni tofauti.
Mfano: kuna theory inasema life originated from dirt, kulikuwa na uchafu uchafu umejikusanya mahali mara ghafla wakatokea funza hiyo ni origin
Evolution inakuja kusema o funza wakabadilika wakawa sijui chura then akawa nyani then bindamu
Wewe theory gani ya ORIGIN unaikubali?
iand in first place I was not talking about those theories,,,,you said we were created and I said no I was born not created
Sijaona hoja ambayo haijajibiwa mpaka sasa hiviWengine mnajaza server kwa kuwaita wanahoji mashetani na hamwezi kuwajibu hoja zao. Kama mnataka kuwahubiria tafuteni namna nyingine.
If i may ask
According to you, what is the origin of man?
Man alitokea wapi?
siyo evolution, coz ili evolution itokee lazima kulikuwa na kitu kingine kabla ndiyo kikaevolve
what is the source according to you?
Mungu na yeye kaumbwa na nani?
kwangu mimi bado sijapata clear origin, evolution theories zina mapungufu mengi kwa mfano kwenye issue za DNA,,lakini pia hata huko kwenye theory ya uumbaji nayo iko na mafumbo mengi haiko clearKwani mimi nimebisha.
Nimekubali u were born not created etc etc
Nimeachana na hilo
Nimekuuliza swali "Wewe unaamini what is the origin of man, kwa wewe mtazamo wako kama Ndugu. Sammoo?"
Very simple question
i
Uhalali wa uwepo wa Mungu ni uwepo wa binadamu, viumbe hai na visivyo hai.
Kitendo cha kuuliza maswali ya uwepo wa Mungu kinadhihisha Mungu yupo, otherwise tungelikuwa empty minded kama ambavyo viumbe wengine walivyo.
Utimamu wa kibinadamu mbali na elimu na maarifa mengine ya kidunia unadhihisha uwepo wa aliye juu kifikra na kihisia kuliko binadamu.
Swali linakuja ni nani huyo? (ni mizimu,majini,malaika au na nani hasa).
Kimantiki Kama ambavyo wanyama hawana uwezo alionao binadamu ndivyo ilivyo kwa binadamu asivyo na uwezo kama alionao yule aliyemuumba.
Wanapinga uwepo wa Mungu ni kama kinyago mbele ya mtengenezaji/mchongaji,ndio maana machoni pa aliyewaumba anawaona kama vinyago ambao hawasikii wala hawaoni.
How is that possible???Hajaumbwa
How is that possible???
Why not?How is that possible???
kwangu mimi bado sijapata clear origin, evolution theories zina mapungufu mengi kwa mfano kwenye issue za DNA,,lakini pia hata huko kwenye theory ya uumbaji nayo iko na mafumbo mengi haiko clear
Sio kwenye rule au principle ila idea nzima tu ya Kiumbe wa namna hiyo haingii akilini. Let's start slow, SO UNATAKA KUNAMBIA AMEJIUMBA AU VIPI???Why not?
Kwani kuna rule au principle sehemu kwamba lazima Muumbaji awe ameumbwa?
Hapana
Bindamu ameumbwa na Mungu ambaye ni eternal,
Attributes za Mungu huyu na attributes za binadamu ni tofauti
The creation is finite has a defined beginning and end
The creator doesn't
Sio kwenye rule au principle ila idea nzima tu ya Kiumbe wa namna hiyo haingii akilini. Let's start slow, SO UNATAKA KUNAMBIA AMEJIUMBA AU VIPI???
Basi dunia na yenyewe haijaumbwaHajaumbwa
Eti mtu anathubutu kabisa kusema...Nimeongea na Mungu....Hahahaaa, kuna watu ni hatari sana....unaongea na kitu usichojua kama kipo? huo siyo mwanzo wa ukichaa?
Basi dunia na yenyewe haijaumbwa
Kwani wewe kila kitu ambacho kipo lazima ukisikie au ukione?inahitaji ujasiri kufanya mambo hayo sana mana sio tu unadanganya wengine bali unajidanganya mpk ww mwenyewe. Hujawah hata kusikia sauti ya mungu wala malaika halafu unajitokeza hadharani kabisa na kusema yupo...
Ndugu yangu, naona haujaelewa
Mungu siyo kiumbe, hivyo Mungu haumbwi wala hajiumbi
God is the Creator
Human Being is a Creation
A creation is created
The Creator is not Created
Sijaona ambacho hujakielewa hapo
God has no source, hes eternal, infinite
God has no start, he was never created because He has always been there and will always been there
Naomba useme kuwa "haingii akilini mwako"
Kwa sababu kwa sisi wengine inaingia, inaeleweka and it's simple and clear
Man is finite
God is infinite
Kama Assumption yangu haina uzito wowote,Kwa nini?
What do you base that on?
Naomba kujua what you base your opinion kwamba kama binadamu aliumbwa basi aliyemuumba naye aliumbwa?
Hiyo ni assumption yako na haina uzito wowote