Aisee, a touching one. Kuna mitoto inakula sausage na mayai for breakfast, inabeba chipsi na juice shule, inakuwa picked na skul bus, afu inafeli! Mungu akusaidie dogo.
Halafu akipata division ll anaambiwa mkopo unakuwa nusu na aliyepata division l kupitia mazingira mazuri ya wazazi wake wenye uwezo anapata mkopo wa asilimia 100, shit!!!!
Aisee, a touching one. Kuna mitoto inakula sausage na mayai for breakfast, inabeba chipsi na juice shule, inakuwa picked na skul bus, afu inafeli! Mungu akusaidie dogo.
Ndo kapewa msaada uyo na kaukubali, we kaa usikikize maneno ya mapadri na mashehe wakiwapinga tu wakati wao hawana msaada! Wajenzi Huru wanajali.... Wale waliopandikizwa chuki dhidi yao wanaumizana vichwa tu