Lakini kuna kasoro katika hizo picha na thread nzima ambalo hata mimi limenikuta, naomba nisaidieni
kwanini picha zote inaonekana wababa wanawapenda watoto waKIKE? hapo waliobebwa wote ni wakike na huu mtindo kweli upo sijui kwako
Wakikua kidogo utasikia mtoto wa kike ni wa Baba na mtoto wa kiume ni wa Mama
Left hand drive, Hii lazma iwe Nigeria! Lol
Kuna wanawake ambao nilishaweka nadhiri kuwa <b>hata kama utanikabidhi dollars milioni moja</b> ili niwe nina uhusiano naye basi nitakuambia bora uondoke na hela yako kuliko mimi kuwa na mtu wa aina hiyo..