Who cares

Kuna wanawake ambao nilishaweka nadhiri kuwa hata kama utanikabidhi dollars milioni moja ili niwe nina uhusiano naye basi nitakuambia bora uondoke na hela yako kuliko mimi kuwa na mtu wa aina hiyo..
 



Duh! Hii ni kali! Sasa huyo aliyefufuka aliendelea kuishi ama amefufuka na kufa tena!
 
Kuna wanawake ambao nilishaweka nadhiri kuwa hata kama utanikabidhi dollars milioni moja ili niwe nina uhusiano naye basi nitakuambia bora uondoke na hela yako kuliko mimi kuwa na mtu wa aina hiyo..
wanawake gani hao
 
Ujasiri gani wakati hapo anamtumia mtoto kama bullet pro
 
wake zao wana bahati,wanaume wa JF mjifunze na nyie kusaidia wake zenu at least jioni ikifika ukidai tunda kutakuwa hakuna kisingizio cha kuchoka.




Good one,hii ni kithibitisho tosha kuwa si kwamba tunawaoa ili mtupikie sijui kufua na kazi za ndani,Big NO,yote hayo tunayaweza na hiki ni kielelezo tosha kuwa tunawaoa ili mtusaidie kazi moja tu ambayo imetushinda kuifanya bila ushirikiano wenu ila tabu sasa ikifika muda wa kutupa ushirikiano wengine mnataka kuifanya kazi hiyo kama silaha yenu ya kutunyanyasa wenzi wenu..
 
Enzi zangu hizo duh, nimelea sana tu, ndio raha ya kuoa mwanamke wa Tanga bhana
 
Hao ni Zecomedy meen!
Ukiangalia context utaelewa tu kuwa huomfuniko umefunguliwa vizuri tu, ukapangwa hapochini pamoja na picha na ua!
Pia angalia thamani ya jeneza, linganisha na hicho kiturubali kilichochomekwa hapo juu, haviendani kabisa.
PIA kuna jamaa kwa mbele kule kabeba mtoto wake wala hana wasiwasi, anafuatilia tu igizo.
Thats just acting mazee! mUONGOZAJI hapo aliwaambia..."ACTION..."
 
Yaani nimecheka basi...I hope hii haikuwa kweli maana ni kituko cha mwaka
 
Hii ni Adobe Photo shop.Yaani hata watu hawashtuki kabisa...we unamuona jamaa hapo pembeni yuko kama mtu wa kawaida...ningetegemea kuona mbio
 
Kama ulikuwepo kaka na hiki ndicho kilichotokea na ni kisa cha kweli kabisa ila sitaweza kutaja majina kwa kuwa sina haki hiyo..

Hapa ndiyo nilitamani majibu lakini umeshajitetea Mkuu!
Ila ni hakika Duniani kuna mambo kweli kweli!
Na nahisi yatatokeaga makubwa zaidi ya haya kadri siku inavyosogea!
Na ni hapo sasa imani ya mtu itakapokuwepo!

MUNGU UTUSAIDIE BABA!
 
Kama ulikuwepo kaka na hiki ndicho kilichotokea na ni kisa cha kweli kabisa ila sitaweza kutaja majina kwa kuwa sina haki hiyo..

Asikwambie mtu bwana kufa kunatisha, kunakitu huwa wanasema wachungaji na hata kwenye maandiko kipo kwamba WALIOKUFA HAWANA IJARA(ISHARA) TENA NA WALIO HAI hii inawezekana ni siri kubwa ya mungu kwamba huyu mtu akishaingia hali ya umauti pamoja na kwamba watu wanakuwa na huzuni ila mawasiliano au mahusiano yanakufa hapohapo no network at all ndo mana damu ambayo ni uhai inaganda so hapo no coleresheni (kidhungu chake sjui kinaandikwaje) na walio hai hivyo mfu akiinuka toka kwenye jeneza moja kwa moja watu wanajua si mtu huyo ila ni mzuka au mzimu.

HEBU PATA PICHA PALE VIWANJA VYA LEADERS SIKUILE YA KUMUAGA KANUMBA ANGEPASUA JENEZA NA KUTOKA NA KUSEMA LULU NTAKUUA!

NIAMBIE KUNGEKUWA NA MAITINGAPI ZA KUZIKA KUTOKANA NA UMATI ULIOJITOKEZA KUMUAGA AU MADAM WEMA ALIVOKUWA ANAZIMIA KILA WAKATI ANGEKIMBIA KWA MIGUU NA MNGEMKAMATA MABWE PANDE.
all in all nimecheka sana asante kunipatia kitafunio cha chai yangu ya asubuhi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…