Who are our Heroes in Tanzania (The Great Achievers...)

Dr W P Slaa.
Tunaweza kweli kumuweka Dr. Slaa kwenye same league na akina Mkwawa.... nadhani bado inabidi aendelee na bidii zake za kuleta hoja za kuwabana mafisadi... lakini jamaa mpaka sasa anafanya kazi nzuri.
 
Huwezi ukawapima kwa kipimo kimoja heroes ambao wametoka katika tasnia tofauti

Kumpima Shaaban Robert na Mkwawa kwa mfano unalinganisha vipi?
 
Huwezi ukawapima kwa kipimo kimoja heroes ambao wametoka katika tasnia tofauti

Kumpima Shaaban Robert na Mkwawa kwa mfano unalinganisha vipi?

Yaani katika kila fani who did best in that field, the ultimate achievement; mfano Shaaban Robert katika kukuza kiswahili; Fibert Bayi katika michezo; Baraka mwishehe kwenye music; Mkwawa ushujaa wake wakati wa ukoloni kutetea himaya yake e.t.c In short who stood up above the rest. Who motivated the rest, ni nani tunaweza kujivunia kama watanzania kwamba..... The Guy Made Us Proud....
 
Neno hero au shujaa tayari linaegemea kwenye 'waliopigania'. Ili kubaki na heading hiyo kunahitaji maelezo ya ziada kama haya uliyoyatoa hapa chini.

Nampendekeza Said(?) Tingatinga

msimsahau kinjekitile ngwale, hasana omary makunganya, bwana heri na abushiri bin salim, hao ndio waliokua ma roll model wa mwalim nyerere.
Eboo!!!
Na huyu Mwanga aliewadanganya watu kua atageuza risasi kuwa Maji munamsifia? Nyiewatu vipi jamani? Mko serious au munatania?
 
Neno hero au shujaa tayari linaegemea kwenye 'waliopigania'. Ili kubaki na heading hiyo kunahitaji maelezo ya ziada kama haya uliyoyatoa hapa chini.

Nampendekeza Said(?) Tingatinga
Edward Said Tingatinga...
Kweli kabisa hawa ndio unsung heroes.... Thats why napendenkeza vitabu au movies zitengenezwe kuhusu hawa watu... am sure generation from now hakina Shaaban Robert, Tingatinga and e.t.c. wote watapotea na hakuna mtu atakayejua there was such a person.
 
Eboo!!!
Na huyu Mwanga aliewadanganya watu kua atageuza risasi kuwa Maji munamsifia? Nyiewatu vipi jamani? Mko serious au munatania?

aliwapa watu confidence, bila kufanya hivyo nadhani watu wangekimbia, lakini mimi personally sidhani kama huyu ni shujaa
 
ndio aliyeifikisha tz hapo ilipo, aliyefuata yaani hiki kipindi chake cha pili ndio ataaanza kufanya kazi, na ninashukuru kwani alikiri mwenyewe kabisa bungeni kuwa kipindi cha kwanza alikuwa hajajipanga zaidi na hata akadiriki kusema kuwa hakuna chuo cha u-raisi. N akama utataka kunikubalia kuwa kwa sasa ndio anaanza kufanya kazi angalia walau baraza lake na kukubali kuanzishwa hotuba mpya haya yote yatamweka katika historia ya vizazi na vizazi.
mazuri gani kakufanyia huko nyuma?
 
Je ukiambiwa Shujaa wa Kwanza Kabisa Tanzania utamtaja nani mimi nilisema mkwawa lakini kuna mdau akasema jamaa alikuwa coward sababu alijiua.

NAFIKIRI MKWAWA,MIRAMBO,SINA,KIMWERI NA WATEMI WENGINE THEY ARE FISRT HEROES OF TANGANYIKA HISTORICALLY
 
Mama yangu kwa kutonitupa na kunilea ijapokuwa baba alimkimbia
Mke wangu kwa kunipa mapenzi mazuri na utulivu wake unaonifanya nilitumikie taifa langu vyema
Baba yangu kwa kumpa ujauzito mama
Na watanzania wote kwa kutumia kodi zao zilizonifanya nisome na kufikia hapa

Nafikiri mmenipata kwani tutaendelea kubishana kafanyanini kakufanyia nini na kamwe hatutaweza wapata mimi mashujaa wangu ni hao hapo nilio wataja
 
Kweli kila mtu wazazi wake ndio heroes lakini tunapoongelea Tanzania nzima hatuwezi kila mtu akataja mzazi wake basi nchi nzima itakuwa ni mashujaa
 
martin kiyeyeu wa iringa

Exactly my point am sure huyu jamaa alifanya mambo makubwa... lakini sababu nchi yetu haiwapi chance ya kuwapromote heroes wetu na kuwafanya wajulikane thats why wengi hatujui watu ambao walifanyia taifa letu mambo makubwa
 
Back
Top Bottom