Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 22
Nafikiri ili kuwa na usawa wa kutoa mawazo inabidi tuainishe sekta au kundi ambalo tunataka kuwaweka hawa watu. Kwa mfano, Michezo: (Riadha, Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Mpira Wavu), Sanaa (Ushairi, muziki wa dansi, muziki wa kizazi kipya, kutumia vifaa vya muziki -gitaa, tarumbeta,) Uandishi wa vitabu vya riwaya, maigizo etc...!
Lasivyo itakua sio sawa kulinganisha kipaji cha Marehemu Saidi Mziray na Sokoine au Shaban Robert au na Hasheem Thabit...! Hawa ni watu ambao waliweza kufanikiwa katika maeneo yao ya utaalam wao na huwezi kulinganisha...!