whether you want or not, your answer will be three (3)

whether you want or not, your answer will be three (3)

Umeshinda nini mamndenyi?
Bora umpe zawadi mtoa mada kwa kutengeneza mlinganyo mzuri unao-hold.

Sijatest kujua uko valid kwa namba zote

hee, watu wote waseme hata na wewe mwali wangu,
mbaya.
 
Hizo hesabu zako ni sawa na kusema sita gawanya kwa mbili ni sawa na tatu.

Hazo ni MAGAZIJUTO.

Unapoigawanya namba kwa 2, halafu unaiondoa namba yenyewe unabaki na ile 6 uliyoongeza tu. So ukigawanya kwa mbili ni lazima ibaki 3.

Mchezo huohuo ukitumia kuongeza 8 badala ya 6 jibu litakuwa 4. Ukiongeza 4 jibu litakuwa 2.

Good stuff though...

mbona hamkusemaga.

 
hamuamini hesabu yyangu iyo no ni -9 mkuu leo hamna chochote?

Labda kama nigetoa formula na kuuliza mumegundua nini? hapo labda kungekuwa na japo kashata....lol
 
duh, kweli umenivunja mbavu
Math is simply hilarious

sijakupata mkuu!!!!shule ya kata hapa ila ningekuwa mtoto wa fisadi ningekupata pata!!!ila nahisi unahitaji hiyo namba,basi ni 0!!!!
 
let say.. i think of 1..
double..1x1=1..
add six 1+6=7..
half it 7/2=3.5..
take away the number you started..3.5-1=2.5
the answer is THREE..!??
wat the HELL!!??
 
Kweli ni kama MAGAZIJUTO.....ningeweza kusema fikiria number, zidisha mara tatu, jumlisha tisa, gawanya kwa tatu, alafu ondoa number uliyoanza nayo.....jibu ni tatu.
 
Kweli ni kama MAGAZIJUTO.....ningeweza kusema fikiria number, zidisha mara tatu, jumlisha tisa, gawanya kwa tatu, alafu ondoa number uliyoanza nayo.....jibu ni tatu.
yeah..thats correct..nakumbuka tuliitumia sana trick hii enzi hizo..
 
YOur mathematics is poor ,very poor. Dont try this in public
 
Back
Top Bottom