ow uko sawa mkubwa laptop keypad lazima ziharibike ukicheza sana game,well ukitaka kuzipata nenda kariakoo pale kwenye roundabout pembeni yake kuna maduka ya samsung endelea kutembea ukielekea kwenye stendi ya magari ya mbagala huku ukiangalia upande wa kushoto utaona duka moja la vifaa vya computer,ps2 na tv.Ipo stock kubwa tu,bila shaka utazipata hapo(bei ni shilingi 50,000)