AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,113
Poa ashadii ilete hapa tuidadavue vizuri
Naona hii itakua bora in privacy italeta havoc hapa!
Poa ashadii ilete hapa tuidadavue vizuri
you couldn't have said it any better gaga lol
Love is in the air
hujachelewa sana....is Kiss = Romance?mmmmmmmmmmh!!!!! naona nimepitwaaaaa... hapa ndo mahala panguu... mmmmh! hata hivyo woooote nawa kiss kiss.. mwaaaaaaaah! teh teh
hujachelewa sana....is Kiss = Romance?
hahaha!hujachelewa..kwa maana hiyo wewe una full package siyo?na hivyo ur gud at????:biggrin:teh teh teh... sijachelewa eeeeeeh???????? hakuna romance bila kiss kiss koooooooote!!! teh teh kiss kiss ni kipengele tuu... mmmmh!
hahaha!hujachelewa..kwa maana hiyo wewe una full package siyo?na hivyo ur gud at????:biggrin:
Pole anzia mwanzo upate uhondo, na tumeambiwa kwenye somo hili tupige mswaki vizuri kuepusha usumbufummmmmmmmmmh!!!!! naona nimepitwaaaaa... hapa ndo mahala panguu... mmmmh! hata hivyo woooote nawa kiss kiss.. mwaaaaaaaah! teh teh
.........................if it is true then I will kiss until the World stops going around.................And when you kiss me I know you miss me Oh, the world just goes away When you kiss me
fafanua tu Dinnah.................mswaki usipopigwa wapatikana usumbufu upi???????????????????Pole anzia mwanzo upate uhondo, na tumeambiwa kwenye somo hili tupige mswaki vizuri kuepusha usumbufu
Pole anzia mwanzo upate uhondo, na tumeambiwa kwenye somo hili tupige mswaki vizuri kuepusha usumbufu
Ina maana hujui rutash au unanisanif, mdomo usiposafishwa vizuri unalta usumbufu kwa kisser mwenzako, yaani domo ukiachama tu si harufu hiyo, khafafanua tu Dinnah.................mswaki usipopigwa wapatikana usumbufu upi???????????????????
Mwali unaonekana unapenda sana kutoa migunoaiiiiiiiiiii... asante mwayaaaa... mmmmmmh, ndefu hio niko ukurasa wa nnee.... rahaaaa utamuuuuuuu!... mmmh!
Mwali unaonekana unapenda sana kutoa miguno
mswaki ni kizungumkuti.............................hauwezi kuukuna mdomo wote hata wale vijidudu wakakimbia..........siku hizi mambo yote ni Listerine..................kila kitu ni bomba na hakuna harufu hata chembe.........................................kazi iliyobakia ni kunyonyana ndimi tu........................kwa wapendanao lakini............................................Ina maana hujui rutash au unanisanif, mdomo usiposafishwa vizuri unalta usumbufu kwa kisser mwenzako, yaani domo ukiachama tu si harufu hiyo, kha
Ruta ila mswaki ni muhimu kabla hujasukutua na hiyo dawa nahisi, maana kuna mavitu huwa yanaganda kwenye ulimimswaki ni kizungumkuti.............................hauwezi kuukuna mdomo wote hata wale vijidudu wakakimbia..........siku hizi mambo yote ni Listerine..................kila kitu ni bomba na hakuna harufu hata chembe.........................................kazi iliyobakia ni kunyonyana ndimi tu........................kwa wapendanao lakini............................................
aiiiiiiiiiii... asante mwayaaaa... mmmmmmh, ndefu hio niko ukurasa wa nnee.... rahaaaa utamuuuuuuu!... mmmh!
Listerine ni kiboko ya uchafu na inautoa kila mahali.......mswaki tunapiga kwa mazoea tu lakini hauna msaada sna na ndiyo maana hata usugue meno kila saa lakini kuoza meno kupo palepale.................kwa sababu dawa za meno hazina uwezo wa kuwaua bakteria..........................................Ruta ila mswaki ni muhimu kabla hujasukutua na hiyo dawa nahisi, maana kuna mavitu huwa yanaganda kwenye ulimi