When You Kiss Me

When You Kiss Me

hommie, mwambie pia kwamba mimi nilikuwa wa kwanza kumgongea senks pale...hebu kakague..


teh teh teh tih tih tih tah tah tah teh teh teh!!!!!!!!!!!!!!! aiiii!!!!!!!!!!!! basi aksante!!!!!
 
mswaki ni kizungumkuti.............................hauwezi kuukuna mdomo wote hata wale vijidudu wakakimbia..........siku hizi mambo yote ni Listerine..................kila kitu ni bomba na hakuna harufu hata chembe.........................................kazi iliyobakia ni kunyonyana ndimi tu........................kwa wapendanao lakini............................................
Ya kweli haya
 
aaiiiiii!!!!!!!! nishapiga hodi kwa ma kiss kiss kibaoooo nimefurahi kurudi tena baada ya mapumziko ya burn ya mda mrefuuuuuuuuuuuu! teh teh
Jana tu leo umeingia mitini? au id yako imefunguliwa?
 
Wapi Gaga... hata huniarifu dear kua Mpenzi kachakachuliwa??? Dah! basi tena...lol
Si umezubaa kule kwenye quotes, shauri yako si umesoma ile thread ya jamaa katoa mahali akachukuliwa na rafiki wa yule mchumba?
 
Si umezubaa kule kwenye quotes, shauri yako si umesoma ile thread ya jamaa katoa mahali akachukuliwa na rafiki wa yule mchumba?


Najuta!! Sina nguvu... kwanza nilitaka kupaisha quote yake peke yake nikaona
soo ndo maana hadi akina Gaga wakaingia...lol... alafu kachakaculiwa.. sijui nikaedit nimtoe...
 
Najuta!! Sina nguvu... kwanza nilitaka kupaisha quote yake peke yake nikaona
soo ndo maana hadi akina Gaga wakaingia...lol... alafu kachakaculiwa.. sijui nikaedit nimtoe...
Usomtoe bwana mwache palepale nafasi yake, unajua kutamani huwa kupo tu hata asiyesema huwezi jua katamani wangapi
uzuri wake wanatamani na kwenda zao hawamaanishi toka rohoni
 
Vipi mpenzi niko kona ya mwanzo hapa, jiandae basi tuishie zetu ARUSHA kwa akina lizzy tukapigwe baridi kidogo.
Si umehamia kwa romance, yaani huyu mtoto kaingia na kuharibu ndoa za watu hapa!!!! si unaona ashadii anavolalamika pia
 
Usomtoe bwana mwache palepale nafasi yake, unajua kutamani huwa kupo tu hata asiyesema huwezi jua katamani wangapi uzuri wake wanatamani na kwenda zao hawamaanishi toka rohoni


Asante kwa busara zako umenirudisha katika mstari... but mmmh! haya nimekubali...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom