MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Kaka mie huku nshajenga kibanda lol! Umeniumbuaje mwenzio?!Hivi MwanajamiiOne unachangiaga mada kwenye majukwaa mengine kweli? Au wewe uko ki-MMU zaidi?
Ningependa kujua huu utafiti ulifanywaje i mean njia gani zilitumika
Yaani Mr Rocky nimebaki na maswali lukuki! Maana ukianza kuangalia kwa jicho la tatu ina maana wale wanaokaa muda mrefu bila mf. Ghana wanaishiishije kama si kucheat kwa kwenda mbele?Hebu nitafakari then nitarudi baade maana huu utafiti ni kiboko
Wangeweka na tanzania tuone hali ikoje maana hapa kuna different culture na different perspective kuhusu sex kwa makabila mbalimbali
Ngoja nisubiri nione wataalam wa mapenzi wataongea nini
Survey method; interview as the technique combined with secondary information from reports like Demographic Health Surveys e.t.cNingependa kujua huu utafiti ulifanywaje i mean njia gani zilitumika
Yaani Mr Rocky nimebaki na maswali lukuki! Maana ukianza kuangalia kwa jicho la tatu ina maana wale wanaokaa muda mrefu bila mf. Ghana wanaishiishije kama si kucheat kwa kwenda mbele?
Basi Ghana watakuwa na high rate of Cheating!!! Mara moja baada ya siku 28Survey method; interview as the technique combined with secondary information from reports like Demographic Health Surveys e.t.c
Sampling frame: walikuwa wanawake wote walioolewa (excluding singles, widows, separeted, divorced na wale walio katika ndoa za wake wengi )
Hapo ndipo ninapopata wasi wasi na hizo tafiti maana ule mhemko wanaupeleka wapi kama sio kwenye nyumba ndogo
Na ukiangalia kwa hao wanaume kukaa siku nane bila sex ni issue sana
Mimi surveys kama hizi huwa nazichukulia with a grain of salt.
It is wise not to take/ accept them as gospel truth.
Mimi surveys kama hizi huwa nazichukulia with a grain of salt.
It is wise not to take/ accept them as gospel truth.
Accept with quotion maana huwa sometime kukuelezea kwamba what will happen if something happen halipo
maana hapa tunaelezwa wanaweza kukaa siku nane bila sex then what will happen if hawatafanya sex kwa siku hizo nane
Rejao, hili linahitaji utaalamu wa mapenzi kweli? Ah bana .... Hebu jiulize wanaume waliooa Ghana wanaishiishije iwapo kwa wastani wanapata huduma ya ndoa mara moja ndani ya siku 28?
.... Its true usemayo kakangu yaani sometimes tunapewa issue za ajabu sasa kama Ghana ambako ndo less kihivyo je hali hii inaendana na ukubwa wa janga la UKIMWI au watasema wanaume wa huko hawacheat, au wakicheat wanatumia kinga?! Ah hata sijui kama nimeuliza maswali yanayoeleweka!