When Does the Infatuation ends.......?

Janjaweed,upendo hauna muda upendo upo tangu na tangu,sisi wote tumeumbwa kutokana na upendo.Upendo wa Yesu(Mungu)hauna kipimo wala mwisho.Upendo ukiujua haupati maswali kuuhusu.Unauishi kila siku.Maisha ni matamu kama unaujua upendo.Upofu wa mapenzi ni matokeo ya kutoujua upendo!
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo Eiyer tunakubaliana kuwa sometimes upendo unawezakuwa part of infatuation? Maana kama hauna muda it means hata ukiwa kwenye 'high peak' ya week moja upendo unawezaufeel au??
 
Last edited by a moderator:
hatimae umefika. Sanduku lako la posta ni lile lile? Nataka nikutumie maswali maana hapa umegoma kuulizwa.

Natumia fax sku izi.

Dah! acha nisichakachue hii sredi ni muhimu sana. Am so proud kuwa na shemeji linaloanzisha masredi kama haya. Mungu alibariki shemeji langu hata likifika miaka 60 lisifanye wrinkles za uso. tusemeni amen
 
Natumia fax sku izi.

Dah! acha nisichakachue hii sredi ni muhimu sana. Am so proud kuwa na shemeji linaloanzisha masredi kama haya. Mungu alibariki shemeji langu hata likifika miaka 60 lisifanye wrinkles za uso. tusemeni amen

Hahaha Shemeji mbona una visa? Hii ya kutokuwa na wrinkles amen yake aiseme Mbu aisee......maana hata nkuwa na wrinkles kwa bibi as long as Mbu hajali haitonisumbua aisee!
 
Nop, Husyn sijakupiga dongo, nimechoka tu kuelezea, nikiwa na energy ntakuelezea.

unaelewa nini kuhusu huo upofu?, mi nimemwambia kongosho sina upofu katika mapenzi naona kanipiga dongo kuwa napenda kwa kichwa.
 
Hahahahah.............loh huyu ni shemeji yangu nshamzoea ati dah............kwa hii post umenikata kiu shemeji!
Shem bora nisingekanyaga hii sred yako. Dah!

Deskmate mbona hujajibu suali sasa?
Hiyo ni love au infatuation?

Hiyo ilikuwa natoa burudani tu ili sred inoge deskmate, kwenye hii sred sina mchango wowote. Si unajua mimi under age? lol
 
MwanajamiiOne,upendo hauwezi kuufeel,upendo unauishi,upendo ni zaidi ya hisia,hauchangamani na infatuation,hiyo ni ishu nyingine na ni mpinzani mkubwa wa upendo.Upendo upo kila wakati,upo milele upo wakati wote.Ukiujua hautapata tabu kuutofautisha na uchafu mwingine unaopachikwa jina la upendo!
 
Last edited by a moderator:
Shem bora nisingekanyaga hii sred yako. Dah!



Hiyo ilikuwa natoaeu burudani tu ili sred inoge deskmate, kwenye hii sred sina mchango wowote. Si unajua mimi under age? lol

Hahahaha umesema underage? ............kama cealing ni 50 hata 49 ni under age shem
 

Sasa umenipa mtihani mwingine............siku za mwanzoni nitatofautishaje kati ya upendo na infatuation Eifer?
 
Last edited by a moderator:
Chauro haha hapa nacheka maana Soulmate alishalisema hili bali mie sikio la kufa mwe! Ngoja nirelax niache love itake its own course................... Aksante mamii

Mbu nakupenda aisee....sitaki kujua kama penzi hili ni infatuation au la! lol

♫...na bado na bado, sijafika mwisho..♫ - Bushoke ft Klynn (Mbona wanitazama)
 
♫...na bado na bado, sijafika mwisho..♫ - Bushoke ft Klynn (Mbona wanitazama)
hehehe dah nilisema nisirudi tena kwenye hii sredi lakini Mbu bana lol, ningekuwekea chorus lakini nalazimika kulog off.

Hii sred ni ya kuacha wimbo tu ukaondoka.
 
Last edited by a moderator:
MJ1 hii makitu yako hii ngumu sana bana..leo nina akili za 'kimuungano' ngoja kwanza nika do ze nidiful
 
MJ1 hii makitu yako hii ngumu sana bana..leo nina akili za 'kimuungano' ngoja kwanza nika do ze nidiful

Shem nimefurahi kukuona, I was hopping you would pass by na kutoa mchango. Do you mind telling us what you think before uanze 'kusheherekea muungano"? lol
 
Shem nimefurahi kukuona, I was hopping you would pass by na kutoa mchango. Do you mind telling us what you think before uanze 'kusheherekea muungano"? lol

In this case, Shem, "Muungano" comes first...I will throw in my two cents later....😱hwell:
 
♫...na bado na bado, sijafika mwisho..♫ - Bushoke ft Klynn (Mbona wanitazama)

Mpenzi wewee........ nieleze ni vipi nitaweza kuishi bila wewe........ukiniacha ukaenda zako
Kama ni ukweli yale nasikia kwa majirani, ya kwamba utakujaniacha ukienda zakoo.................

Ukiniacha mi ntalia, ukienda zako ntabaki naumia
Kama ungelijua uoga ninao kukupoteza,Baby, nakuomba baki uishi nami,
nasema Baby nakuomba baki tujaribu tena tunayo nafasi,
ya kuanza tena, tunayo nafasi ya kujikomboa, haturudi nyuma kamweee


mh kama hujafika mwisho basi basi ninaomba nisipewe definition ya infatuation wala matamanio....whatever it is I pray it last longer .........lol Mbu utaniharibia diet kwa raha za pendo lako Laaziz ujue!! lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…