WhatsApp tricks: Kuficha tiki ya pili, chats, status, nk

Psiteshio72

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
634
441
Kwanza fungua WhatsApp yako, kisha click nukta 3 (three dots) kulia mwa simu yako,
Kisha click PRIVACY
sketch-1515741649040.jpg

Baada ya hapo utaona hivi vyooote na hap ni kwa ajili ya kuvificha ili mtu anaye chati na wewe asijue kma upo online, mfano ukificha tiki ya pili haitaonekana kwa mtumaji ataona tiki moja tu ya sent, lakin kumbe weww umeshausoma, na kukaa kimya ingali yeye akijua haupo online
Screenshot_20180112-101748.png

Ficha tiki ya pili, status, utaamua wewe kwa contacts tu au kwa groups...
Note:hi ni kwa watumiaji wa GB WhatsApp tuu. Kama huna GB ipakue hapa, hi unaweza itumia pamoja na WhatsApp messenger ila number tofauti
GB WhatsApp
Tutaendelea tricks 1 hpahpa kila baada ya SAA...
Uliza, pia toa maoni.
Pia na hack fb,insta kwa sekund, kwa kuaminisha njoo nikuhack kwanza wewe ,kisha upate huduma PM fastaaa.
Hacker hatari duniani..
Pia tembelea Forum mpya hapa ya tuzungumze yenye uhuru na upana zaidi
www.tuzungumze.com
 
Hii naisubiria....alafu kuna mtu unaona anabadil profile pic alafu last seen yake labda mwezi wa kumi mwaka jana na ukimtumia msg inakua tick moja apo amefanyaje?
Kwa wanaotumia GB WhatsApp kuna sehemu ya kukonctrol privacy ambapo utahide online
 
Kwa wanaotumia GB WhatsApp kuna sehemu ya kukonctrol privacy ambapo utahide online
Hiyo najua...nasema ile unaona last seen kabsa ila ya mda mrefu na profile anabadili means kwamba anakuaga online
 
Back
Top Bottom