WhatsApp tricks: Kuficha tiki ya pili, chats, status, nk

WhatsApp tricks: Kuficha tiki ya pili, chats, status, nk

Mkuu, samahani kwa usumbufu but mbona siipati hi Yowhatapp kwenye play store?
hizi Mod(Modified apps) kama yo whatsapp gbwhatsapp n.k huwa hazipatikani playstore kwasababu sio app rasmi kutoka kampuni ya whatsapp
 
Mkuu nataka tofaut kati ya youwatsap na GB watsap......ipi ni nzur kuliko nyingine??
 
Unawezaje kutoa matangazo yanayokuja ukifungua app
 
Hiyo hapo
IMG_20180812_082752_000.jpg
IMG_20180812_082132_564.jpg
IMG_20180812_082152_442.jpg
IMG_20180812_082213_459.jpg
 
Wakuu Hivi kama Nimepoteza line niliyoregister kwa whatsapp yangu niki update naweza nikatumia njia gani kupata verification code?
 
Back
Top Bottom