WhatsApp Status yangu

Sema wadau wanavyoikandia watsap status unaweza kuhisi ni watu fulani waliojipata, au wako busy na ugunduzi wa vitu vya maana au wanaendesha makampuni makubwa makubwa kumbe wao wasiopost na wanaopost wote ni mambugila tu chini ya utawala wa mama dula.
 
Nimecheka sana
Hawapost status ila kazi yao kubwa ni ku view 😅😅
Na hiyo ndio kazi yao sasa

Sioni tatizo mtu akipost
Sioni tatizo mtu asipo post pia

Ila wasio post kabisa wanajipaga ka umuhimu 😆😆🙌
 
Humu hakuna makapuku na wala hatupost status😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…