Whatsapp na picha za kutisha..

mbona hamjadili picha za ngono mnazotumiana kwenye hizo Whats app ama hizo ni sawa.?

wabongo wanavopenda ngono utasikia anakuambia hauna video nyingine ya ngono unifoadie?
 
Ok,
Watu wangu wa karibu wote ni wastaarabu sana;
Hawana tabia kama hizo;

 
Kweli zinaudhi sana,lakini nimepata somo kuwa hata madaktari wetu na manesi wa sasa wanakiuka sana maadili...picha ya huyo aliyechomwa na sururu inaonekana kabisa imepigwa ndani ya chumba cha upasuaji,sasa ni nani amezipiga kama sio madaktari/nesi?

Mkuu una point nzuri
 
anayekutumia picha ina maana ana namba yako, inamana mnafahamiana, kwa nini usimwambie directly?
 

Funnie videos and pictures....wewe jamaa nakujua wewe
 
Yaani mda huu niko hapa nadumisha uzi, huku kuna mtu kanitumia sijui za mwanaume singida kakata kata familia yake yote vipande vipande.. arghhh..!
 
ngofa umeongea point ya msingi Sana..... maana ile picha alikua kwenye upasuaji sijui ethics zinakuwaje
 
Last edited by a moderator:
Yaani mda huu niko hapa nadumisha uzi, huku kuna mtu kanitumia sijui za mwanaume singida kakata kata familia yake yote vipande vipande.. arghhh..!

hahaaa na zinasambaa fasta.... nahisi muda si mrefu nitakuta wameweka kwenye group yetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…