ha ha ha ha ha mtukome
Like nampa @chuma cha reli wewe awakome kwa lipi?
tunajua mapenzi mtuache .. mpe mtoto rungu mpaka akatikie automatic si kulazimishia
Watu wengine akili zao zipo makalioni, huyo mwanaume kashikiwa akili hata hajielewi...!!!!
i wish nijue hiyo huwa inamaanisha nini, best yangu flan ye ananambia kila ndugu wa mme(dadaz) wanapokuja kuwatembelea lazma mme awe upande wa dada zake, wakienda church dada anabebewa mkoba wife anabeba mkoba wake na mtoto mgongoni, mme anamuagiza wife mletee chakula wifi ako ye kanyoosha miguu kama toothpick kwenye kochi, shortly zile care za mke zinahamia kwa dada ndo kusema!!!???dada anamreplace mke au....ha ha ha nicheke kama mazuri!!!!
bidada pole mwaya jitoe tena kwenye group na umwambie asikuweke
na mwanaume arudishe bikra
ha ha ha ha ha mtukome
kuzungukwa na waislam sio tija ya kujuua kila kitu upo??? zipo sehem stahik za yy kushtaki je aliwah kwenda kushtak mbali n kudai talaka???
Kumbe dada nae ni mke????!!!!! ndo maana kumbe mke na wifi ndo vile haya...wife ni mke wa ndoa tu na dada ni mke wa maisha! tehe tehe tehe!
Mpendwa TC bingwa wa JF, jee wewe umeolewa na Wadhungu au wa Asia ???? mmh maana umetujumlisha Waswaha !!Kuolewa na familia ya kiswahili shida tupu!!!!!!!!! pole sana...........
wajuzi wa ndoa watakupa ushauri
Mpendwa TC bingwa wa JF, jee wewe umeolewa na Wadhungu au wa Asia ???? mmh maana umetujumlisha Waswaha !!
Light weight, Straightforward umewaponda Sawahiliya !! nikiwemo mie...!Ubingwa upi huo????? heavy weight or!!!!!!!
Sijaolewa na dume lolote lile mie single lady
Light weight, Straightforward umewaponda Sawahiliya !! nikiwemo mie...!
Kumbe dada nae ni mke????!!!!! ndo maana kumbe mke na wifi ndo vile haya...
Sasa kuna haja gani ya kuoa si muishi na dada zenu tu if that the case?yeah, mwanamke uanamuoa, unamgharimikia lakini siku akiamua kukukimbia anasahau yote! tuna mfano hai kwenye famila yetu! marehemu kaka yetu ali-base sana kwa mke wake sana kiasi ambacho aliwasahau ndugu zake(kaka) lakini alipougua sana ugonjwa wa kisukari na mkewe akaona mmewe hatapona hakumjali tena! dada yetu ndiye aliyehangaika naye mpaka mauti yalipomkuta!!