belie
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 387
- 261
na mwanaume arudishe bikraMwambie ajiandae kurudisha mahari!
na mwanaume arudishe bikraMwambie ajiandae kurudisha mahari!
kwa mara ya kwanza you have made sense.
Hiiii.. mume mswahili,mshakunaku kweli..mbona dada anauwezo was kujitoa whatssap vizuri amwache akipiga. Umbea ..jianaume la kujishushia stamina la nini kuliendekeza
Kwa tabia hizi za kike mumeo atakuwa mtu wa Pwani ama Zenji.
mimi sielewi huyu dada nae anashida yani ningejitoa kwa tangazo la herufi kubwa kuwa nitolewe ... mwanaume kukaa umbea umbea kwa kwel mimi siwezi muheshimu....... utakuta yanalilia heshama kama uji huku hawajui heshima inatafutwa.. aiii...
Tabia ya mtu haina Pwani wala bala. Hayo ni mapungufu ya mtu binafsi
Miss Chagga nimeshajitoa huko lakini najua atanirudisha tena, ila hii hali tu inanikwaza sana, yaani sijui niseme nini nieleweke lakini maisha ya ndoa yamekuwa magumu
unadhani talaka inatolewa tu
najua inaandikwa pia....hahahahah, sasa unafikir hapo kuna furaha gan ya ndoa, mana ukienda kwa wakwe kero, wake wenzio ndo yarabi toba! mumeo nae ndo akili kashikiliwa mkononi.... alaf kama masikin ya mungu hana wazazi ndo utaomba mwisho wa dunia uwe kesho! tabu nyingine hizi! sasa angekua peke yake yangekuepo yote haya....?? mi bora niwe single tu kwakweli, mambo ya kuolewa wake wengi hapana
ki ukweli NDOA ZIKU HIZI NI KUJITOA AKILI ILI UISHI LA SIVYO UTALIA KILA SIKUnajua inaandikwa pia....hahahahah, sasa unafikir hapo kuna furaha gan ya ndoa, mana ukienda kwa wakwe kero, wake wenzio ndo yarabi toba! mumeo nae ndo akili kashikiliwa mkononi.... alaf kama masikin ya mungu hana wazazi ndo utaomba mwisho wa dunia uwe kesho! tabu nyingine hizi! sasa angekua peke yake yangekuepo yote haya....?? mi bora niwe single tu kwakweli, mambo ya kuolewa wake wengi hapana
Ngoja nikatapike kwanza nipunguze hasira nikipata nafuu ntaludi
ngoja nikatapike kwanza nipunguze hasira nikipata nafuu ntaludi
Niulize enyi walimwengu huyu bwana anavyonitesa
kanitoa kwetu kwa baba na mama
kwa vigeregere na heshima nyingi
mtizameni sasa anavyonigeuka
mtizameni sasa anavyonigeuka
Mambo anayoyafanya ni Aibu kusema kwa kuwa leo nina uchungu nitakueleza
old is gold
Ndoa ya mateso
Marijani Rajabu
digital hamzijui hizi