Whatsapp na Mgogoro wa Familia

Whatsapp na Mgogoro wa Familia

dada nimeumia kama ni dada angu wa tumbo mojaaa....jamaa ako kama sio ---- ni duazi.ningekushauri achana na masimu yenye watapp kabisa kama unaipenda ndoa yako.pili jaribu ku have fun bila ya yeye wala hilo group uone maisha yalivyo matamu....maisha haya sio kuolewa ukeweza dadaaa
 
pwent of correction: tabia za kiswazi, si za kike. Ina maana na wee unayo? mi sina, au ngoja nikamuulize mama jinsi yangu.

Asante. Ni uswazi hasaaaa. Ukute anamuimbiaga mkewe rusha roho.
 
Asante my sijaongeanae kabisa kuhusu hiyo picha, nimeshaongeanae kuhusu vituko vya familia ni mtu wa kuitikia tu, yani like aaah basi, sijaona akichukua action yoyote, siongei nae sana mambo ya familia yake kwa kuhofu kuwa ataona siwapendi au vipi japo nina mengi ya kuongeanae

Okey my dear,pole kwanza kwa kuumia,pili usiogope huyo ndo mumeo huwezi jua kasimama vipi bila kuongea naye,umesema huwa anaitikia tu usijali wanaume ndivyo walivyo siyo wepesi sana katika kutoa judgement hupenda kujiridhisha kwanza ndipo afanye maamuzi.
Unahitaji muda sana kumsoma mumeo,kwasasa naomba nisimjudge vibaya mumeo,umesema huwa anapokea malalamiko yako anaitikia tu ni dhahiri hata wewe hujajua huwa inamgusa au haimgusi,na yeye hajataka kujidhihirisha kwako yupo upande gani(hii ni tabia ya wengi)lets think positively kabla ya kurusha mawe,nikiangalia jicho la tatu naweza sema mumeo yuko kwenye uchunguzi na hiyo group kaiweka kimakusudi kabisa na ndo maana mara ya kwanza ulivyojitoa alikurudisha ana sababu zake anataka kujua yeye mwenyewe kati yenu ninyi wote mkorofi ni nani, hata hiyo picha kaiweka kimtego aone ndugu zake watarespond vipi na wewe je utalichukuliaje hilo. Huyo yupo kiupelelezi zaidi.

Cha kufanya mumy take it positively waache wajifangulue weeee wewe kaa kimya tu wakuongea naye ni mumeo,najua imekuuma lakini jikaze mumy kaa na mumeo tena ukiwa katika mood nzuri naye yuko vizur ongea bila jazba muulize kwa upendo alimaanisha nini kuweka hiyo picha kadri anavyokujibu maswali yako yambane kulingana na majibu yake lakini jicontrol sana usipandishe hasira,hiyo atleast itakupa mwangaza kujua mume naye yuko upande gani.

Kuhusu wakwe na hao wake wenzako wala usishindane nao uzuri wewe hauko nyumba moja nao pengine nayo ni sababu wanakuonea uwivu,wanatamani hata waume zao wangefanya hivyo sasa wanashindwa iliyobaki ni kufanya vita nawe,mume wako anakupenda na anakujali sana na anapenda uwe safe ndo maana hakuona ulazima wa yeye kuendelea kuwa nyumbani kwao.

Mambo mengine mydear hayaihitaji ulalamike sna bali uonyeshe action,utaheshimiwa na kuthaminiwa kwa matendo yako,ili upate heshima hiyo kuna kamsoto fulani kwa kudharauliwa lazima ukapitie,wafundishe wakwe na wake wenzako upendo,wafundishe kwamba wewe si wa mambo ya umbea kwa yeyote yule atakeyukuja kwako hata awe mnapatana,endelea kuwakarimu usisubiri asante yao wala hata kusifiwa maana makubwa yatakukuta,tenda wema nenda zako.

Naongea haya sababu nimeshayapitia mumy siongei from nowhere,ajishushae atakwezwa na ajikwezae atashushwa,tunza ndoa yako mama utaona mafanikio kila mmoja atakupigia salute,nina yangu mengi nikihadithia ntajaza ukurasa.
 
Mblock mmeo then uleft kma mmeo anaxhida ykuongea naww akupigie cm au text ykawaida naxilazima akutafute wtsap naakikuliza mwambie asikuxumbue kwa group
 
Ningekua mimi ningekua sijaribu ku comment chochote kwenye hilo group. Wala hata kusoma post ningekua sisomi' dawa ya moto ni maji!

Yaaani magroup yanakera sana watu wasio bize na kazi wanafikiri kila mtu hayupo bize, cha msingi wapuuze na usicomment wala kusoma lolote
 
Mie naomba niwe tofauti na Wa changiaji wengi....Baba yangu aliniambia baba ake alimwambia walikuwa wanapendana na wadogo zake kabla awajaoa lakini walipooa ndipo tofauti zilipoanza...

Dingi akaona mizinguo eehh na ye sikayaona yani migogoro ukoo mzima lakini chanzo kinakuwaga ni wanawake.
Biblia imesema tuishi na wanawake kwa makini sana back to the topic...it is justice for justice... Wewe ni upande Wa mstaka bado mshitakiwa ajaleta utetezi as long I don't trust women.
Wewe itakuwa unamatatizo sema unajaribu kutafuta excuses... Na mume wako ameshagundu ila anataka uhakika zaid.
No woman, no cry.....
 
Umenifanya na mimi nianze kuwa na mtazamo kama wako...

Iweje wake wenzake 4, mama mkwe, mawifi...wooote wamchukie yeye...

Mmmmnnnnhhhh kuna namna...siyo bure...na mume naye ameamua kuunga trela...

Mleta mada ukweli unaujua wewe...jiangalie mapungufu yako pia; yanayokufanya uwe tofauti na wengine...
Maana sisi wanawake hatukawii kuwa chanzo cha kusambaratisha upendo kwenye familia za watu...

Pole mkuu hapo tatizo ni mumeo hebu zungumza nae na umuulize kwa kituo kulikoni kukufnya kichekesho shurti kila mwenye lake kukutupia kwani umekua jalala. Hao sijui ndugu au wakwe hawana taabu shida ipo kwa mumeo na wewe ndiye unaeweza kuukomesha huo upuuzi hebu mkabili mweleze yaliyo moyoni mwako lkn kumbuka kufanya haya yote kwa utulivu yaani moyo wako usiwe na hasira ili usije ukajikuta unampa kelbu kama nne hivi shauri yako. Kukaa kimya sio suluhisho kwani imeathiri wengi na wengine wamepata visukari , magonjwa ya moyo n.k. Mazungumzo ni njia nzuri mno kwa wanandoa kumaliza tofauti zao. Kama vipi akuambie wewe uko fungu gani kwake.
 
Umenifanya na mimi nianze kuwa na mtazamo kama wako...

Iweje wake wenzake 4, mama mkwe, mawifi...wooote wamchukie yeye...

Mmmmnnnnhhhh kuna namna...siyo bure...na mume naye ameamua kuunga trela...

Mleta mada ukweli unaujua wewe...jiangalie mapungufu yako pia; yanayokufanya uwe tofauti na wengine...
Maana sisi wanawake hatukawii kuwa chanzo cha kusambaratisha upendo kwenye familia za watu...
Ewaaaaaaaaaaa!!

Hapa sasa ndipo pa kuanzia. Mwaweza kuwa mnamlaumu mme, wake wenzake, familia mpaka sijui mawhatsapp na mamitandao ya kijamii kumbe tatizo ni la mleta mada mwenyewe.

Ukiona watu wengi wako kinyume chako jichunguze wewe. Haiingii akilini watu wote wawe kinyume chako afu ujione wewe ndio mkamilifu na eti unaonewa.

Kwangu mimi naona mleta mada ndio mwenye tatizo na ajirekebishe. Period!!

Tumsaidie kwa hilo badala ya kuunga mkono hoja yake kuwa yeye ndio anaonewa.
 
Wewe unapenda shari, na from maelezo yako uko arrogant sana!Unataka usikilizwe wewe tu, na umejaa ubinafsi uliopitiliza!Bila shaka mumeo ni mtu wa watu na hilo linakukera sana, it is obvious usipobadilika utaishi kwa shida sana!Vinginevyo u better quit the marriage!

Inawezekana tunaishi na wewe nyumba moja my, maana unanijua vilivo
 
Ewaaaaaaaaaaa!!

Hapa sasa ndipo pa kuanzia. Mwaweza kuwa mnamlaumu mme, wake wenzake, familia mpaka sijui mawhatsapp na mamitandao ya kijamii kumbe tatizo ni la mleta mada mwenyewe.

Ukiona watu wengi wako kinyume chako jichunguze wewe. Haiingii akilini watu wote wawe kinyume chako afu ujione wewe ndio mkamilifu na eti unaonewa.

Kwangu mimi naona mleta mada ndio mwenye tatizo na ajirekebishe. Period!!

Tumsaidie kwa hilo badala ya kuunga mkono hoja yake kuwa yeye ndio anaonewa.

Asprin sijasema wake wenzangu wananichukia wote, La Hasha nimesema katika sie wake wenza ni mmoja tu ambae akisema ndie anasikilizwa na familia, na hii yote ni kwasababu ya yeye kuwa na tabia za kutumaliza wenzake kwa maneno ya uzushi, urongo na kejeli, Matatizo yangu labda kuwa busy na shughuli zangu maana mie sio mama wa nyumbani na sina muda wa kuanza kumuongelea mwingine negative sikulelewa hivo, ata maisha ya nyumbani kwetu yaani kwa my parents nina wifi zangu wa 3 na wote ni kama familia moja, aya ya bugza za mawifi mie ndio nimekutananayo huku, inawezekana kuna sababu lakini wao ndio wanaijua ila ninayoijua mimi ni ya huyo mke mwenzetu mmoja
 
Kumbe kilio chako ni kutokusikilizwa?? Unataka usikilizwe lipi kwa wakwe zako? Na kama anasikilizwa mmoja tu kati yenu, hao wengine pia wanalalamika?

Kama nimekunukuu vizuri, ulikuwa unalalamika wake wenzako wakishirikiana na mmeo wanakusengenya..... umebadilisha malalamiko??
 
Babu rejea mada yangu, vizuri utanielewa
 
Mamy wewe kila akikuweka jitoe akirudisha toa ili ajue kama hupendi

Mme gani anapenda majungu ? wanaume huwa hawako hivyo kimajungu majungu

Mamy kama itashindikana wala usicoment kwenye hiyo wasapu wewe kuwa busy na mambo yako

Ndoa zina mengi loh , Muanzilishi wa ndoa tunaomba aingilie kati
 
Back
Top Bottom