dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,531
Nimeshajaribu hivo my ila inakuwa ngumu kidogo wakati mwingine unajikuta umesoma japo si yote
Kwanini usiBLOCK,,,!
Nimeshajaribu hivo my ila inakuwa ngumu kidogo wakati mwingine unajikuta umesoma japo si yote
Sasa kuna haja gani ya kuoa si muishi na dada zenu tu if that the case?
Mi kama mi sijawahi ona kaka anareplace nafasi ya mme ila kwa madadaz kutake nafasi ya mke nimeona mara kibao kwakuwa na wewe unaona ni sawa nakushauri usioe ishi na dada zako ha ha haha ha ha ha! na nyie muishi na kaka zenu? au huna kaka! mmezaliwa mitetea watupu!!