yani kila siku kwako utaona msiba tu! mweeh! kama ni sharia acha ivunjwe tu, lakin kama ni amri ya mungu basi ntaolewa.... ila si kwa mateso hayoki ukweli NDOA ZIKU HIZI NI KUJITOA AKILI ILI UISHI LA SIVYO UTALIA KILA SIKU
kwa mara ya kwanza you have made sense.
Yesu na maria yani wewe unakosea sema naomba kutolewa kwenye hilo group hakuna kujitoa kimya kimya udaku na umbea ..... mimi nitachangia kwenye magroup ya mitaani hata yale ya kutumiana mapicha ya uchi la familia kamwe never ever nitakuwepo lakini si kuchangia nii umbea na ufyuuu tu....kama kuna msiba shida michango na namba ya huyo mtu nitamtafuta mwenyewe na si kwamba group ndiyo ina help upuuzi tu... mwambie mumeo asikurudishe hata kidogo na akome kabisa ... hivi unaishije ni jiaanaume mbeya mbeya jinga halina akili ... hayanihusu lakini pole
kwahyo hata kama kanivunja mguu nikae kimya? kah! acha tu nipate dhambi kwakweli, dhambi tunazifanya nyingi sana, m sio muislam ila nmezungukwa na waislam na nayajua yote hayo ila kiukweli vitu vingine tuangalie na utu! amani ya moyo ni bora zaidi.i can bet wewe s muislamu na kama n muislamu dini bado hujaijua mwanamke akiolewa akaomba talaka kwanza dhambi pili awe tayar kurudsha mahar aliyotolewa na allah huchukia mno talaka so inaandikwa ila sio kiholela tu ile kusema tu nimekuacha haijalish ulimaanisha au la hiyo n.talaka tayar
omba talaka uende kwenu! mume, mkwe, wake wenzio wote lao moja! unasubiri nini sasa?
Asante Miss Chagga umenisaidia maana nilikua natoka povu. uyo mume sijui "mchele" ?
Mpendwa Naima, Mie ushauri wangu ni Muhimu, Kwani huwezi surrenda Unyumba na Ndoa kwa sbb ndogo tu ya techno (whatsApp) !! utakuwa brainLess na mbeleni utajuta !! Kwanza ni shame kuanika aibu za Husband (baba watoto wako) humu, Pia kuwa kafshifu wana familiya japo hatuwajui. Lakini hayo ni very minor things !!
Sasa nikushauri kama Kakako... Usijaribu kumpoteza Bwana wako huyo...ila jaribu kumbadilisha au ku reform upya (kumrekebisha kinamna) Na njia wewe waijua "as a Wife, as a gal, as Lady, as woman" hiyo ni jukumu la na ukweli kuna njia nyingi sana Nyie w'wake mnazo za kutuweka to be GENTLEMAN !!
Sista humu JF baadhi yetu ni Full waharibifu ktk masilahi ya wenzetu (nasema baadhi tena) kwani hakuna tunacho poteza Losing nothing isipokuwa kuchochea !!
Tafadhali Panua busara zako na kwa hekima mtafutitie time Bwana muwe wa2 tu na muongee kiutu uzima.!!
Hongera in Advance uweke imani ya juu juu zaidi utaishi sweet life. Amina
Ubarikiwe sana.
kwahyo hata kama kanivunja mguu nikae kimya? kah! acha tu nipate dhambi kwakweli, dhambi tunazifanya nyingi sana, m sio muislam ila nmezungukwa na waislam na nayajua yote hayo ila kiukweli vitu vingine tuangalie na utu! amani ya moyo ni bora zaidi.
Mpendwa Naima, Mie ushauri wangu ni Muhimu, Kwani huwezi surrenda Unyumba na Ndoa kwa sbb ndogo tu ya techno (whatsApp) !! utakuwa brainLess na mbeleni utajuta !! Kwanza ni shame kuanika aibu za Husband (baba watoto wako) humu, Pia kuwa kafshifu wana familiya japo hatuwajui. Lakini hayo ni very minor things !!
Sasa nikushauri kama Kakako... Usijaribu kumpoteza Bwana wako huyo...ila jaribu kumbadilisha au ku reform upya (kumrekebisha kinamna) Na njia wewe waijua "as a Wife, as a gal, as Lady, as woman" hiyo ni jukumu la na ukweli kuna njia nyingi sana Nyie w'wake mnazo za kutuweka to be GENTLEMAN !!
Sista humu JF baadhi yetu ni Full waharibifu ktk masilahi ya wenzetu (nasema baadhi tena) kwani hakuna tunacho poteza Losing nothing isipokuwa kuchochea !!
Tafadhali Panua busara zako na kwa hekima mtafutitie time Bwana muwe wa2 tu na muongee kiutu uzima.!!
Hongera in Advance uweke imani ya juu juu zaidi utaishi sweet life. Amina
Ubarikiwe sana.
Yani na wewe umekubali kuwa Mke wa 4 wa huyu jamaa?
Asante sana kwa ushauri wako, lakini wakati mwingine kinachotuleta huku ni kupata relief maana unakaa na jambo mpaka unahisi kupata depression
wanawake baadhi wanauvumilivu utasikia ndiyo wife material mfyuuu.... bora nisiwe wife material kuliko kuishi na mwanaume tahira
Mpendwa Miss Chakka, Sie tunajuana, zaidi nakuelewa ushalenga THE MAN yupo ktk 18yrds zako !!!! mmmh...selfish by nature mfyuu...
mmmh okeyMpendwa Miss Chakka, Sie tunajuana, zaidi nakuelewa ushalenga THE MAN yupo ktk 18yrds zako !!!! mmmh...