JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
huko kusaidiana au kupeana stress
unaweza kukutwa na bangi lakini siyo mvutaji, ana ushahidi kuwa mumewe aliwalamba?? au kwasabu ya kuona picha tu.
atulizane kwanza kabla hajachukua maamuzi
huko kusaidiana au kupeana stress
unaweza kukutwa na bangi lakini siyo mvutaji, ana ushahidi kuwa mumewe aliwalamba?? au kwasabu ya kuona picha tu.
atulizane kwanza kabla hajachukua maamuzi
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..
Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..
Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl
Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia
Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana
Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp
Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.
Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..
Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi
Wenu Egyps
*********
zile za kawaida tu kila mara tunajibiwa, kwani huwezi kufanya mwenyewe, huoni nabembeleza mtoto, subiri mtoto alale, nimechoka mtoto alikuwa anasumbua, usafi, kubaki na khanga kama uko msibani kila kitu sababu mpaka tunakereka mwishowe tunakutana na wawindaji haramu
Sasa kaka angu ata jf mbona ayo mambo yapo...myb bado hujakutana nayo......ni ngumu kukwepa aya mambo
nawe jiunge kwenye whatsapp halafu uminvite na save majina ya rafiki zako wa kike kwa majina ya kiume na mwombe rafiki yako wa kike akutumie message nzuri ya mapenzi na umwonyeshe mumeo huku ukimwambia kuwa hujui ufanyeje kwani huyo bwana aliekutumia msg yuko tayari kukuoa na hawezi ishi pasipo wewe.
Of course hata humu najua yapo lakini humu kunalimitation kadhaa ambazo zinapunguza shughuli hizo hapa jamvini. Zifuatazo ni baadhi tu ya barriers:-
- ID humu zina create barrier kubwa sana kwa sababu watu wanakuwa waoga kujilengesha kwa mtu kwani unaweza kuta ni ndugu yako kama baba, mama, dada, aunty etc au ni mtu ambaye unaheshimiana naye sana na actually haupo willing kuwa na mahusiano naye yas kimapenzi. kwa hiyo watu wanakuwa wana hestate!
- Watu wengi walio humu ni Mature kiasi kwamba they have purpose of joining JF! They are serious na sometimes mtu kumuingia inabidi ajiulize mara mbili mbili kwa hiyo anakomea kufollow comment na threds zake huku akiumia rohoni. Na hata akiamua kumuambia ya moyoni basi anakuwa na yale mapenzi ya serious kwani amekuwa amefanya research kumhusu mpendwa wake kwa muda mrefu siyo love ya kitoto toto! Japo hii imekuwa ikipungua hapa kwa watu wasio mature kiakili kuvamia JF!
- Zingine ongezea na wewe brenda18!
Kwa kiasi flan nakubaliana na wew lakin humu ndani nako kuna mabazazi na mabandidu wakutosha tuu...ni kama pameingiliwa...yaani ikishakuwa social network tu mambo si mambo....utayaona tu ipo siku...am optimistic thow dont judge me wrong
huko kusaidiana au kupeana stress
Kwa kiasi flan nakubaliana na wew lakin humu ndani nako kuna mabazazi na mabandidu wakutosha tuu...ni kama pameingiliwa...yaani ikishakuwa social network tu mambo si mambo....utayaona tu ipo siku...am optimistic thow dont judge me wrong
Hahahahaaaaaaaaaaa, nikupe pole dada! Mabazazi na mabandidu yameshakusumbua nn? Mpe shem password yako ayape za uso, teh teh teh teh (joke)!
Kwa nini ujipe stress kuwa huru unasaidiwa kupunguza genye za mmeo
Inaonyesha brenda18 mchoyo sana