WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

sasa si ndo unataka kunivurugia kabisa ..
Naomba ushauri wako tafadhari

nawe jiunge kwenye whatsapp halafu uminvite na save majina ya rafiki zako wa kike kwa majina ya kiume na mwombe rafiki yako wa kike akutumie message nzuri ya mapenzi na umwonyeshe mumeo huku ukimwambia kuwa hujui ufanyeje kwani huyo bwana aliekutumia msg yuko tayari kukuoa na hawezi ishi pasipo wewe.
 
Hahahaha @Fidel80 sasa wangechunguza nini ilhali wababa zetu walikuwa na adabu ya kuficha siri? Na pia vitendea (dhambi) havikuwepo ungechunguza nini, barua? Siku hizi kuna temptations kibao usiposhika simu yake, utazama kwenye email, ukishindwa huko utasoma meter za gari !

Mi inafika mahali nataka niachane kabisa na hizi technology hivi unajua hivi teknolojia zimevunja ndoa za watu wengi sana? Na kama ujuavyo kila binadamu sote tunamapungufu hatuna budi kuvumiliana kama wazee wetu walivyo kuwa kule Masa Jangwani walivumilia.
 
40??..mi nijuavyo ni wa 4 tu..hayo ya mabikra huko sisemi sana..ahahahah

Ukifa nitakumiliki mimi huko ahela, sasa kama wanne kwa nini huyo mwanamke anae lia msimshauri vizuri huyo mmewe apunguze hao wanawake 3 abaki na hao 4 kwa roho safi? tatizo lenu wanawake mmeumbwa uchoyo hampendi na wanawake wenzenu wafaidi
 
tena malimbukeni kipi kipya huko nje unachopata... kama ni kijana tembea na sampuli zote unazotaka ukiamua kuingia just settle tu

kama ni malimbukeni na wakizamani inakuwaje mnatukubali? Kumbuka siku za nyuma uliwahi kutuita Mbwa halafu bado kuna Jibwa linajinafasi kwako. Jifunzeni jinsi ya kuchangia waume, tupo wachache sana na nyinyi ni wengi mno, kila mwanaume akiwa na mpenzi/mke mmoja tu, wanawake wengine watakosa wanaume. Acheni ubinafsi.
 
moyo mmoja kwa mtu mmoja..penzi la mmoja kwa mmoja
Ukifa nitakumiliki mimi huko ahela, sasa kama wanne kwa nini huyo mwanamke anae lia msimshauri vizuri huyo mmewe apunguze hao wanawake 3 abaki na hao 4 kwa roho safi? tatizo lenu wanawake mmeumbwa uchoyo hampendi na wanawake wenzenu wafaidi
 
Kwa hiyo mmeo anatembea na whatsapp au hao wadada?mmeo ni mzinzi acha kuisingizia whatsapp,si ajabu hata wakati unaongea na mmeo ulimwambia aachane na whtsapp badala ya kuachana na tabia ya uzinzi
 
hapa tunahukumu weee lakini hatujajua upande wa pili wa story.......watu huwa hawabadiliki kwenye ndoa...its either huyo Mume wako ni malaya hata kabla ya kukuoa au wewe ndio chanzo cha umalaya wake....JIKAGUE..
 
Halafu sio picha ya mwanamke.....ni za wanawake....duh hili ni tatizo kubwa sana,muombe Mungu mumeo abadilike mwisho wa siku asijekukuletea magonjwa ndani...inauma sana kwa kweli,we umejituliza mwenzako anahangaika.
 
majadiliano,hapo sawa..ila uyo mwanaume duh...wanawake 6?
af ukute nae huwa analalamika wanawake hawana uaminifu

mngekuwa mnatupa huduma kama wakati wa uchumba haya majanga yangepungua lakini mkishaingia kwa ndoa tukapata na mtoto mnaota mapembe
 
Tatizo la wanaume wengi sio wavumilivu,hawawaelewi wake zao wanataka nini,tamaa mbele...kila mwanamke anaepita mbele yake anatamani awe nae...sasa ulivyomuoa ulikuwa kipofu????hakuna binadamu aliekamilika,kuna mengine mtu anaweza kurekebishika lakini mengine u hv to liv wit it and accept ur hubby/wife is not perfet bt wen it comes to uzinzi hilo lazima lirekebishike.for the sake of ur children and the person u claim to love.
 
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..

Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..

Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl

Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia

Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana

Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp

Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.

Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..

Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi

Wenu Egyps
*********

......Simple!

Vipi muonekano wa Mumeo? amenenepeana? ana kitambi na manyama uzembe kibao?
Sikia, .....wanaume "tunaotumia" whatsapp, Facebook, na Jamiiforum #Ku-FLIRT , tunafidia masimango,
na mapungufu ambayo nyie wake zetu mnatunyanyapaa nayo ili nasiye tujiskie vizuri kidogo banaa...

Calm Down, mmeo anakupenda...usimzidishie Msongo wa Mawazo.
 
whatsaap ndo nini?mimi nasikiaga tu sijui insta,sitaki hata kupeleka pua yangu humo,nasikia watu wanalaza watoto njaa coz of whatsup,
 
kama ni malimbukeni na wakizamani inakuwaje mnatukubali? Kumbuka siku za nyuma uliwahi kutuita Mbwa halafu bado kuna Jibwa linajinafasi kwako. Jifunzeni jinsi ya kuchangia waume, tupo wachache sana na nyinyi ni wengi mno, kila mwanaume akiwa na mpenzi/mke mmoja tu, wanawake wengine watakosa wanaume. Acheni ubinafsi.
wewe usitake nikuboe kabisa wanaume woteeee malimbukeni,,, na amajui mnataka nini? ni kweli kama unakuwa wakatili kwa nini nisiwafananishe na wanyama loh
 
I once was an active member of BBM, WhatsApp and FB. Hii mitandao inatengeneza mazingira flani ambayo si mazuri kutoka kizazi hiki cha sasa hasa mabinti (sorry if I have offended you), wanajilengesha sana mpaka basi!! I have decided to be an inactive member for a while replacing them with JF. In short nitarudi kwenye mitandao hiyo pindi nitakapokuwa na business project(s) ili kuitumia kuadvertise, otherwise.......!!

Wewe kweli muuza ubuyu:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Back
Top Bottom