WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

Unajua chukulia whatsapp kama maofisi. Katika maofisi mengi kuna utani sana baina ya waume/wake za watu. Mke wa mtu kushikwa makalio etc ni mambo ya kawaida. Inaondoa stress za hapa na pale, ila baada ya kazi heshima inarudi pale pale. Kwa dunia ya leo, ukiweka msuli sana utapata ugonjwa wa moyo bure. Na hii yote ni maendeleo.
Kiongozi mke wako ashikwe mataka ofisini uniambie ni mambo ya kawaida? Kwa watu wanojiheshimu huwezi kuvuka mipaka ya aina hiyo labda kama huyo mke wako hakuheshimu
 
Aksante Zanta hata mie nimeshindwa kumwelewa mkuu hapo.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi mke wako ashikwe mataka ofisini uniambie ni mambo ya kawaida? Kwa watu wanojiheshimu huwezi kuvuka mipaka ya aina hiyo labda kama huyo mke wako hakuheshimu

Zanta nakubaliana na wewe, ndio maana nikasema kwa mdau mwingine hapa kuwa haya yote hutokea pale mtoto wa kike anapojirahisisha. Lakini kupinga kuwa hayatokei maofisini si sahihi. Mimi nina mifano dhahiri kadhaa wa kadhaa kwani nimeona kwa macho yangu.
 
Kamanda siku zote katika masuala ya mapenzi mwanamke ndio kashika mpini. Kama mke wa ntu haleti matani, sio rahisi kwa mwanaume kumchezea. Ninaamini suala la mwanamke kuchapwa ni la hiari (ukiondoa kubakwa). Kama ameamua kuchat na wanaume zaidi ya mumewe kwenye whatsapp ujue kapenda na wala hajalazimishwa. Na vile vile kama anajilengesha kwa wanaume maofisini wamshike makalio pia amefanya kwa ridhaa yake.

Hapa tupo pamoja Mkuu. Aksante
 
majadiliano,hapo sawa..ila uyo mwanaume duh...wanawake 6?
af ukute nae huwa analalamika wanawake hawana uaminifu
wivu uwe wa kiasi, ukizidi majanga..
cha msingi wakae chini wajadili tatizo ni nini, huenda baada ya kupata mtoto akamsahau mume mume nae atumia fursa
 
Haya mateke linalonijia yataharibu mahusiano na ndoa nyingi.Kwanza kupitia hizi sosho netiweki unakuta mtu unazoeana na mtu au watu kuliko hata muda unaopata kudiscuss issues na mkeo! Kibaya zaidi wanaume na hata wanawake wengi wanakuwa kama malimbukeni hivi na haya masosho netiweki hasa ukikuta mtu amekuwa mjanja utu uzimani alafu anapata fursa ya kuchat kirahisi na warembo ndio anachanganyikiwa kabisa.

Wana ndoa tufahamu kazi ya kufanya ndoa iwe bora na yenye furaha ni wote wawili hivyo tuwe makini na hizi sosho netiweki zisisababishe wenzi wetu kutuhisi vibaya maana kibinadamu hata kama hufanyi nao lolote lazima hutajisikia vyema na ukitaka kujua maumivu yake mwenzako ndio angefanya hayo!

Tuache ulimbukeni wa kutojali hisia za mwenzako kwa kuleta uzungu wa "just a friend" huku mnatumiana meseji za kichokozi bila kujali mwenzako atajisikiaje akiziona.
 
Zanta nakubaliana na wewe, ndio maana nikasema kwa mdau mwingine hapa kuwa haya yote hutokea pale mtoto wa kike anapojirahisisha. Lakini kupinga kuwa hayatokei maofisini si sahihi. Mimi nina mifano dhahiri kadhaa wa kadhaa kwani nimeona kwa macho yangu.
Kwa hiyo uliosema ni sawa sijapinga kua hayatokei yapo kabisa, ila ndio hivyo kama mkeo wako anakuheshimu lazima aweke distance ya mambo ya utani huwezi kumshika ---- akakuchekea labda kama anatak umbalue
 
Eee baba Mungu zinusuru ndoa hizi zinazo nyemelewa na ibrisi wa mitandao.

Kuna siri kubwa sana ndani ya hii mitandao,ndoa zinavunjika,watu wanauana, chuki, ufisadi, usaliti, dhuruma na mengine mengi yaliyo ndani ya ushetani.

Shetani anazidi kutesa dunia kwa style tofauti tofauti anaeneza chuki ndani ya ndoa kwa kutumia hii mitandao.

Majaribu ulionayo ni makubwa jipange kumwondo huyu pepo wa ngono anayemnyemelea mumeo, tumia muda wako kuleta suluhu ndani nyumba mwanamke simama imara, hakuna suluhisho la kumwacha mumeo au kuichukia ndoa wewe umeona hayo huwezi jua ni magapi alisha fanya ambayo hauya jui, wanaume tumetawaliwa na mdudu wa tamaa anasumbua bongo zetu.
 
Haya mateke linalonijia yataharibu mahusiano na ndoa nyingi.Kwanza kupitia hizi sosho netiweki unakuta mtu unazoeana na mtu au watu kuliko hata muda unaopata kudiscuss issues na mkeo! Kibaya zaidi wanaume na hata wanawake wengi wanakuwa kama malimbukeni hivi na haya masosho netiweki hasa ukikuta mtu amekuwa mjanja utu uzimani alafu anapata fursa ya kuchat kirahisi na warembo ndio anachanganyikiwa kabisa.

Wana ndoa tufahamu kazi ya kufanya ndoa iwe bora na yenye furaha ni wote wawili hivyo tuwe makini na hizi sosho netiweki zisisababishe wenzi wetu kutuhisi vibaya maana kibinadamu hata kama hufanyi nao lolote lazima hutajisikia vyema na ukitaka kujua maumivu yake mwenzako ndio angefanya hayo!

Tuache ulimbukeni wa kutojali hisia za mwenzako kwa kuleta uzungu wa "just a friend" huku mnatumiana meseji za kichokozi bila kujali mwenzako atajisikiaje akiziona.
Mi siruhusu wala kuchekea hii mambo kwa kweli, lazima umwambie hupendi ukikuta kafanya tena maamuzi mazito lazima yaotke hapo...just a friend unamtumia picha za utupu? aaah
 
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..

Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..

Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl

Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia

Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana

Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp

Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.

Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..

Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi

Wenu Egyps
*********

Huo sio usaliti bi mdogo... ni kawaida. Mmeo anakupenda ndio maana yupo na wewe. Hao wengine ndio anawadanganya, maana anawatumia lakini hawezi kuwaweka ndani. So, furahi tu maana wewe ndiye mshindi miongoni mwa kundi kuubwa la wanawake wanaomtaka huyo mwanaume...

Are you relaxed now?
 
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..

Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..

Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl

Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia

Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana

Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp

Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.

Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..

Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi

Wenu Egyps
*********
A lil bit exaggeration et naina ndoa chungu....! Couple of pics! He is your husband for God's sake. Do want em to ruin your marriage and take away your dear husband. What if amepotoka kidogo...! Wanawake wa siku hizi bwana....! How do you even know He loves them huh!!! Talk to Him, give Him what he likes, calls him the names that makes the King, make him forget those passerby......!
Kalaghabaho....! You snooze, you loose!!!!!!!
 
Once a cheater always will be,

Hata kama ukimkataza whatsapp haisaidii huyo mumeo ni malaya wa kutupwa,kama anamkewe mzuri nyumbani iweje aombe picha za wanawake wengine??

Kaa muongee umweleze anavokuumiza,kama anakupenda sana ataacha lakini kama ni tabia yake ni kama unatwanga maji kwenye kinu.

Kama huna kifua cha kubeba maumivu kwa nini uchokonoe simu ya mwenzio??Kisa cha kujipenguzia siku za kuishi duniani ni nini??

Pole sana dada.

Wanaume wote mlioko kwenye ndoa na walioko kwenye mahusiano,waoneeni huruma hawa wanawake maana wanawapenda sana ila mnawaangusha.
tian, u said it all...
Nampa pole kwa kushika simu ya mumewe, hizi simu zinaficha mengi, kuna siri nyingi mno kwenye simu.

Social networks pia zinaleta mtafaruku kwa vile wengi wa wanandoa hawajui mipaka ya kuwasiliana na watu. Mtu yuko fb, insta, viber, wassap, jf, vk, badoo, nk nk... ni mume/mke wa mtu...kazi kutafuta marafiki wa kuchat nao, wanaanza kurushiana pics za utupu, jamanii...
 
Last edited by a moderator:
pale pale ungetakiwa uwablock bila ya yeye kujua kwanza alafu mengine yafuate .... pia mweleze kwamba si mpango kucheat mabo ya zamani hayo na ya kijinga jinga sana

kama ku-cheat ni mambo ya kizamani, basi 99% ya wanaume Duniani tunamambo ya kizamani.
 
Hahahahaaa, so much curious brenda18?! Unajua muda mwingi katika mitandao hii watumiaji tulio wengi tupo pale kwa ajili ya kuchati tu na kutengeza marafiki wapya and nothing more while few people are there to make money, I mean to make money really by using their networks! Sasa katika kundi la kwanza la ambalo ndilo la wengi huwa linajikuta kwenye kuchati tuuuuuuuuu ambako kunapelekea watu wanaongea mambo mpaka ya faragha utadhani wanajuana physically! Sasa hii inaweza kuchochea mpaka watu wakatafutana na kumalizana kabisa! This is not of good health kwa wanandoa na watu wasio kwenye ndoa! ndiyo maana kuna vijana humu huwa wanakuja na thread za kutafuna sana wadada wa FB, kutokana na mazingira yaliyoko huko huo ni ukweli mtupu! Na hasa wale walafi wa 'dead balls' (wadada walioumizwa mioyo yao na wanaume). Ndiyo maana nikasema mitandao hii inahitaji kujiunga once mtu unapokuwa na malengo dada yangu brenda18 kwani ni mizuri mno kwa networking, lakini kizazi cha sasa kinamisiuse sana mitandao hii!
Inamaana wanakuchokozaga adi umewakimbia...au imekuaje?
 
Last edited by a moderator:
Kama we ni kademu ka ukweli, ulipaswa kuchukua namba za hao mademu wenzako, na kuwapigia kuwakanya. Inaonekana ni kademu kaoga.
Usimdanganye mwenzio wewe! Mwanamke huwa hapigii simu mahawara/videm vya mume wake! Yaani kwa maana nyingine haongei na mbwa ila anaongea na MWENYE MBWA! Upo hapo????????
 
Hahahahaaa, so much curious brenda18?! Unajua muda mwingi katika mitandao hii watumiaji tulio wengi tupo pale kwa ajili ya kuchati tu na kutengeza marafiki wapya and nothing more while few people are there to make money, I mean to make money really by using their networks! Sasa katika kundi la kwanza la ambalo ndilo la wengi huwa linajikuta kwenye kuchati tuuuuuuuuu ambako kunapelekea watu wanaongea mambo mpaka ya faragha utadhani wanajuana physically! Sasa hii inaweza kuchochea mpaka watu wakatafutana na kumalizana kabisa! This is not of good health kwa wanandoa na watu wasio kwenye ndoa! ndiyo maana kuna vijana humu huwa wanakuja na thread za kutafuna sana wadada wa FB, kutokana na mazingira yaliyoko huko huo ni ukweli mtupu! Na hasa wale walafi wa 'dead balls' (wadada walioumizwa mioyo yao na wanaume). Ndiyo maana nikasema mitandao hii inahitaji kujiunga once mtu unapokuwa na malengo dada yangu brenda18 kwani ni mizuri mno kwa networking, lakini kizazi cha sasa kinamisiuse sana mitandao hii!

Sasa kaka angu ata jf mbona ayo mambo yapo...myb bado hujakutana nayo......ni ngumu kukwepa aya mambo
 
Last edited by a moderator:
kama ku-cheat ni mambo ya kizamani, basi 99% ya wanaume Duniani tunamambo ya kizamani.
tena malimbukeni kipi kipya huko nje unachopata... kama ni kijana tembea na sampuli zote unazotaka ukiamua kuingia just settle tu
 
Back
Top Bottom