Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,389
- 2,844
Hivi utajisikiaje ukawa na uwezo wa kutumia WhatsApp bila kila mtu unayewasiliana naye kujua namba yako ya simu! ๐
WhatsApp inafanyia majaribio mfumo mpya wa Phone Number Privacy unaolenga kuongeza ulinzi wa faragha kwa watumiaji.
๐ Ukiweka Everyone โ Kila mtu anaweza kuona namba yako.
๐ Ukiweka My Contacts โ Ni watu uliohifadhi kwenye contacts pekee.
๐ Wakati ukichagua Nobody โ Hakuna watumiaji mwingine yeyote ataweza kuona namba yako kwenye Whatsapp.
Kupitia mfumo huu, watumiaji wataweza kudhibiti nani anayeweza kuona namba zao za simu, huku Whatsapp ukiendelea kuboresha Mfumo wa watu Kuanza kutumia Username badala ya kushare namba za simu.
Ingia setting kwenye Whatsapp yako >> Privacy Kisha username / Phone number privacy utaweza kuweka no body.