WhatsApp imepata tatizo gani ?

WhatsApp imepata tatizo gani ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,589
Reaction score
272,327
Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .

Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
 
Hivi inawezekana ni tatizo kwa leo?

Mie kuna mtu kanitumia ramani WhatsApp imekataa kabisa kufunguka lakini documents za kawaida zinafunguka vizuri
 
nimepata pia tatizo kama hilo
 
Wanashida mimi kuna risiti za kupokelea mzigo nilikua na wafowadia wateja kila mmoja ananiambia tuma tena mara haifunguki

Nikaona shida niakawa nimeingia kutumia whatsap kwenye PC nikijifowadia zile risiti inaandika mambo ya storage fomart ndio kuja kuuliza nakuta hivyo
 
Hata kwangu media zote hazifunguki.
 
Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .

Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?
Boss Hata instagram inasumbua
Pia
 
Sio whatsapl tu Facebook,Instagram napo tatizo hilohilo labda tusubiri notice kutoka makao makuu ya Facebook
 
Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma , uchunguzi wangu umebaini kwamba lundo la watumia whatsapp nao wanapata tatizo kama langu .

Je kuna shida kubwa imetokea ambayo mimi sijaambiwa au nimechelewa kufahamu ?

Restart simu thank me later.
 
Back
Top Bottom