Sio lazma..kuna watu walkua activated kweny ile version ya 2.11.561..na mpka leo bado znafanya kaz.
but ni vizuri ku update kila version mpya inapotoka...mana wanadai wame improve quality ya call katk hz version mpya.
Poa mkuu...enjoy
haya,,,,wapigie na wengine b4 jamaa hawajafung server zao.,
nimeongea na jamaa mida hii sauti poa tu haijirudii ila inachelewa kufika tofauti na call za kawaida
1.either ni tatiz la netwrk...au location ulipo mtandao unaotumia hauko vizur...Mkuu Fareal naomba unisaidie haya:
1.Nikizungumza na mtu mazungumzo yanachelewa kwenda au kunifikia kama inavyokuwa kwenye miito ya mbali yaani miito ya nje ya nchi.
2.Ninachokizungumza kinanirudia/ nakisikia tena kabla hakijamfikia ninayezungumza naye.
NB: Natumia techno m3
Ahsante.
Tafakari...
Kwa windows phone bado mkuu...endelea kusubir