Whatsapp calling activation

Whatsapp calling activation

Whatsapp washafany yao...server closed again..
 
Wadau naombeni msaada kidogo hapa ..nmechukua huawei ascend y530 mpya dukan lkn nkitumia line ya airtel inafanya kazi vizuri internet na vingine lkn inakataa watsapp haifungui..msaada pliz
 
Mkuu Fareal katika post #1 katika swali #2 ukihusisha na jibu lake. Ikitokea server zimezimwa na ulikuwa activated kisha zikawashwa halafu kukawa na latest version (saa hizi nimeiona v 2.12.19) unahitaji ku-update version yako au utaendelea kutumia ile ile?
 
Last edited by a moderator:
Kwasasa ishakuwa open kwa watu wote wanaotumia Whatsapp app. Mabadiliko yameanza jana usiku. Hata kama unatumia old version unaweza kucall pia.
 
Mkuu Fareal katika post #1 katika swali #2 ukihusisha na jibu lake. Ikitokea server zimezimwa na ulikuwa activated kisha zikawashwa halafu kukawa na latest version (saa hizi nimeiona v 2.12.19) unahitaji ku-update version yako au utaendelea kutumia ile ile?
Sio lazma..kuna watu walkua activated kweny ile version ya 2.11.561..na mpka leo bado znafanya kaz.
but ni vizuri ku update kila version mpya inapotoka...mana wanadai wame improve quality ya call katk hz version mpya.
 
daaa wakuu nime update imekubali plz aliye kuwa active naomba anipigie basi 0717228064
 
Back
Top Bottom