Whatsapp calling activation

Whatsapp calling activation

Kwa windows phone bado mkuu...endelea kusubir

Mkuu Fareal, watumiaji wa iPhone hawajaingizwa kwenye hio voice call? Au ni ya kwangu maana naona inakataa hata hio latest virsion siioni App Store
 
Last edited by a moderator:
Mbona hiyo namba ya kumtext jamaa haionekani, mi nishadownload na kuinstall,, nionesheni ilipo hiyo namba
Namba cjaiwek mana kuna mda hua niko bussy sana mpka nakosa nafasi ya kuwasaidia watu..
tuma JAMIIFORUMS kwenda 0713190269 via whatsapp.
 
Mkuu Fareal, watumiaji wa iPhone hawajaingizwa kwenye hio voice call? Au ni ya kwangu maana naona inakataa hata hio latest virsion siioni App Store
Kwa iphone na windows phone bado mkuu...naon wameamua kuanza na android
 
Kwasasa ishakuwa open kwa watu wote wanaotumia Whatsapp app. Mabadiliko yameanza jana usiku. Hata kama unatumia old version unaweza kucall pia.

ntilavano
Whatssap imeshawezeshwa kwa watu wote, haina haja tena ya kusubiri mtu aku-activate...
Yah nakubalian na nyinyi..kuna watu wamepata activation bila kupigiwa...ila SIO wote kuna baadh ya watu wameupdate ila bado hawajawa activated..
 
Whatsapp calling Activation is working again [Server UP]
>*whatsapp wameachia tena server zao za ku-activate whatsapp voice call
>**Kama unahitaji whatsapp call fany yafuatayo..

1.Update whatsapp yako to latest version (v 2.12.19)..download HAPA
2.mwombe mtu ambaye tayar yuko activated akupigie simu kwa whatsapp.
3.pokea simu afu iache hewan kwa sekunde kadhaa..
4.kata simu..then chck kama tab ya call imetokea..kama bado mwambie akupgie tena..

**** please continue to visit this thread for any updates****



,.........UPDATES......,.
A) whatsapp messenger got an update now its on version 2.12.19,,,idownload hapa

B) kwa sasa official whatsapp version inayopatikana playstore ni v 2.12.5

FAQ ((frequently asked questions))
1.Ni lini na mda gani server zitakua open au nitajuaje kua server ziko open ili nimwombe mtu ani-activate.??
Ans,:there is no definitely day & time,,endelea kutembelea huu uzi kupata updates zozote.

2. je ni kwann cjawa activated baada ya kupokea cm.??
Ans,;ni kwasababu hujainstall latest version ya whatsapp kweny simu yako (v 2.12.19)
3. ntajuaje kama tayr nashakua activated kutumia whatsapp voice call.??
Ans,:ni baad ya kuona call icon kweny whatsapp yako na kujarbu kumpgia mtu.

4. kwann siwezi kuwapigia baadhi ya watu walioko kweny contact list yangu,
Ans,:ni kwasabab wanatumia old version za whatsapp,,waambie wa-update version zao za whatsapp.

5.Hii whatsapp call ntaitumia kwa mda gan,??
Ans,: whatsapp call ni ya kudumu,

6. Nawez wapgia simu wat wangp kwa siku na je inafanya kaz had nje ya nchi na kuna ghram zzte za ziada,??
Ans,:YES,,inafany kaz had nje ya nchi bila gharam zzte za ziada na pia hakuna limit uwapgie watu wangp kwa cku,,,ni MB zako 2.

7.Je,naweza kuwa-activate wengine baada ya kua-activated.??
Ans,:YES,,baad ya kua activated unaweza kuwa-activate wengine ila lazma awe na latest version ya whatsapp kweny cm yake.


Kama hii post imekusaidia plz LIKE na utoe feedback,.

Asante mkuu, nimekuwa activated now
 
nimeshangaa kwangu imeji-update automatic so nice one! nimetwanga na ikakubali safi kabisa
 
Back
Top Bottom