Whatsapp calling activation

Whatsapp calling activation

Oya fari... Fareal uzi... Ume expire kwahiyo?
 
Last edited by a moderator:
Haha wabogo bhna maelezo mengi wakati kinachohitajika ni just updates tu

hapo mwanzo kabla officially haijawa released hiyo feature.hayo maelezo yalikua yanahusika.....ila ss hv update 2 inatosha
 
Haiwezi kitu kikawa old version then kikafanya kazi sawa na update version for more info u have to knw wat is updates
 
Mimi whatsapp calling yangu nikimpigia mtu au akipiga yeye sauti yangu inanisikika nikimaliza kuongea ila ya ninayo ongea nae iko vizuri nini tatizo?
 
Haha wabogo bhna maelezo mengi wakati kinachohitajika ni just updates tu
Haya ndo matatzo ya kuingia Jf kwa msimu...
anyway acha nkusameh 2 maana co kosa lako..
 
Mimi whatsapp calling yangu nikimpigia mtu au akipiga yeye sauti yangu inanisikika nikimaliza kuongea ila ya ninayo ongea nae iko vizuri nini tatizo?

hata mi sometimes inakuwa hivyo sijui nini tatizo. . au ni shida za mtandao
 
Back
Top Bottom