Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
Nashindwaaaa
Hili tatizo hata mimi lilinikuta, but nilihangaika mpaka nikafanikiwa, Fanya hivi shuka chini ya hizo details za file, utakuta kuna sehemu ya kudownload kwa kutumia play store na pembeni yake kwa kutumia njia ya kawaida bonyeza hapo kwa kawaida