Whatsapp calling activation

Whatsapp calling activation

Someone to call me nimpe namba yangu please. I already updated it.
 
Thanks much mkuu farijiel, you've made my day..whatsapp calling's successfully activated. Be blessed
 
Last edited by a moderator:
Kama unahitaji whatsapp calling kweny cm yako ya android fanya yafuatayo

Update whatsapp yako to latest version

Link- download hapa make sure una-download version 2.11.561,,,ukiwa na version tofauti na hii cm yako itagoma kupokea activation.,

Ukimalza post namba yako na kuomba activation kwa mtu yyte ambae tayr yuko activated,,,
<(kwa wasiopenda kupost namba zao hadharan,,tuma msg kweny whatsapp kwa kuandika JAMIIFORUMS kwenda namba 0713190269)>


then utapgiwa cm kwa whatsapp unachotakiwa kufanya ni kupokea simu..,


KWA WATUMIAJI WA Whatsapp plus((now known as reborn))

Kwanz backup msg zako,..then unstall Whatsapp+ uliyonayo kweny cm yako,.kisha install official whatsapp v 2.11.561
Fanya activation,..(make sure umekua activated)
Baad ya hapo unstall official whatsapp afu weka tena whatsapp plus,,
Download whatsapp reborn v 1.70 HAPA
Then restore msg zako,,.
Enjoy,...

Kama hii post imekusaidia plz LIKE na utoe feedback,.

,.........UPDATES......,.

A) kwa sasa official whatsapp version 2.11.561 inapatikana playstore.

FAQ ((frequently asked questions))
1. je ni kwann cjawa activated baada ya kupokea cm.??
Ans,;ni kwasababu hujainstall version 2.11.561 ya whatsapp kweny simu yako,

2. ntajuaje kama tayr nashakua activated kutumia whatsapp voice call.??
Ans,:ni baad ya kuona call icon kweny whatsapp yako na kujarbu kumpgia mtu.

3. kwann siwez kuwapigia baadh ya watu walioko kweny contact list yangu,
Ans,:ni kwasabab wanatumia old version za whatsapp,,waambie wa-update version zao za whatsapp.

4.Hii whatsapp call ntaitumia kwa mda gan,??
Ans,: whatsapp call ni ya kudumu,

5. Nawez wapgia simu wat wangp kwa siku na je inafanya kaz had nje ya nchi na kuna ghram zzte za ziada,??
Ans,:YES,,inafany kaz had nje ya nchi bila gharam zzte za ziada na pia hakuna limit uwapgie watu wangp kwa cku,,,ni MB zako 2.

6.Je,naweza kuwa-activate wengine baada ya kua-activated.??
Ans,:YES,,baad ya kua activated unaweza kuwa-activate wengine ila lazma awe na version 2.11.561 ya whatsapp kweny cm yake.
Kwangu imekubali na natumia whatsapp reborn
 
Arsenal win
Qpr win
Man United lose
Man city win
Stoc city win
Astone villa draw

Njoo kwenye uzi wa wAzee wa kubet ili tushauriane na wadau vzr jinsi ya kumpiga muhindi.huku sio kamanda
 
ase n meinstall hyo app ya whats app na nmekutxt mkuu lakn bado cjaielewa wala cjapata screen iliyo gawanywa kama hiyo ya kwako kwenye hiyo profile pic yako mkuu.sorry kwa usumbufu ila nao
mba maelekezo kidogo mkuu.
 
ase n meinstall hyo app ya whats app na nmekutxt mkuu lakn bado cjaielewa wala cjapata screen iliyo gawanywa kama hiyo ya kwako kwenye hiyo profile pic yako mkuu.sorry kwa usumbufu ila nao
mba maelekezo kidogo mkuu.

Ulifuata maelekezo vizur mkuu,.?
 
Back
Top Bottom