Kama unahitaji whatsapp calling kweny cm yako ya android fanya yafuatayo
Update whatsapp yako to latest version
Link-
download hapa make sure una-download version 2.11.561,,,ukiwa na version tofauti na hii cm yako itagoma kupokea activation.,
Pili nitext kwenye whatsapp kwa kuandika JAMIIFORUMS kweny namba 0713190269
then ntakupgia cm kwa whatsapp unachotakiwa kufanya ni kupokea simu..,
Fanya faster b4 server za activation hazjafungwa.
Mtaarifu na mwenzio,..
,.........UPDATES......,.
FAQ,,
1. je ni kwann cjawa activated baada ya kupokea cm.??
Ans,;ni kwasababu hujainstall version 2.11.561 ya whatsapp kweny simu yako,
2. ntajuaje kama tayr nashakua activated kutumia whatsapp voice call.??
Ans,:ni baad ya kuona call icon kweny whatsapp yako na kujarbu kumpgia mtu.
3. kwann siwez kuwapigia baadh ya watu walioko kweny contact list yangu,
Ans,:ni kwasabab wanatumia old version za whatsapp,,waambie wa-update version zao za whatsapp.
4.Hii whatsapp call ntaitumia kwa mda gan,??
Ans,: whatsapp call ni ya kudumu,
5. Nawez wapgia simu wat wangp kwa siku na je inafanya kaz had nje ya nchi na kuna ghram zzte za ziada,??
Ans,:YES,,inafany kaz had nje ya nchi bila gharam zzte za ziada na pia hakuna limit uwapgie watu wangp kwa cku,,,ni MB zako 2.
6.Je,naweza kuwa-activate wengine baada ya kua-activated.??
Ans,:YES,,baad ya kua activated unaweza kuwa-activate wengine ila lazma awe na version 2.11.561 ya whatsapp kweny cm yake.