Whats your talent...???

Sasa huyu young master naye kawa mtume au?...eti anapredict the future...hata kama uwongo lakini siyo kihivyo bwana...mtu hawezi kuwa kuwa na talent zote hizo labda awe Genius.....
 
hiyo numero two kiboko that is what we call a real natural born talent!msiba wa SK hope hukucheza mbali
 
Sasa huyu young master naye kawa mtume au?...eti anapredict the future...hata kama uwongo lakini siyo kihivyo bwana...mtu hawezi kuwa kuwa na talent zote hizo labda awe Genius.....

Inamaana huamini?
 
Binafsi nina kipaji kikali katika music ila sijawahi kuweka juhudi sana kukiendeleza hvyo nmebaki kama mtu tu wa kufanya critic analysis ya music kwa ujumla japo sijawahi kusomea.
Nina uwezo mkubwa wa ku-compose music mfano nmefanya kazi kwa karibu sana na mwanamuziki wa injiri hapa nyumbani David Robert.

Performance yangu ya kwanza nilifanya wakati nipo form 2 pale Jitegemee Sec (miaka 15 iliyopita) na performance yangu ya mwisho nlfanya wakati nipo form 4 pale pale Jiteute!

Skillz nyingine ndogo ndogo nnazo ila Music ndio kila kitu kwangu!
 
Dogo acha uongo

hah! huamini? pata picha nikikusimulia movie ya bruce lee miaka ile... namaliza stori nina jasho jingi! na wewe msikilizaji unaenjoy vya kutosha! sijui kwa nini nilikuwa sitozi viingilio!
 
Sasa ukilia si unawapa kazi ya kukubembeleza wasikilizaji?

hapana inabidi walie pia, maana wanapata direct from movie, wakinibembeleza ni sawa na kubembeleza tv... usiombe nikusimulie picha ya kihindi... ntacheza sana pia!
 
hah! huamini? pata picha nikikusimulia movie ya bruce lee miaka ile... namaliza stori nina jasho jingi! na wewe msikilizaji unaenjoy vya kutosha! sijui kwa nini nilikuwa sitozi viingilio!
Hahahaaaa nasikia JB na Majuto wametoa movie mpya...angalia then utanisimulia...
 
mungu wangu! We babu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…