Hamna judgement. Unajua mimi huwa napenda mtu akienda straight to the point na sio kuzunguka zunguka mbuyu kama kuku anayetaka kutaga
Shortly nina fani ya kumtoa hamu my wife.
Maujuzi hayo we unayo?
kupiga chabo.
Unaonaje kama ungeendeleza kipaji ulichonacho kwa kuingia katika sanaa ya muziki ya bongo fleva?
Kwa kiasi kikubwa ujio wa "Bongo Fleva" ndio ulinikimbiza kwenye "music ya bongo"......
Ntafanya kitu kwenye kipaji changu usiogope kaka Y-M
Kupiga chabo wapi?
Kwani chabo yapigiwa wapi kijana?
Kwenye majumba ya watu.
Kumbe wajua sasa jeuri wa nini hata hakupendezi?
nikifungua Studio nitakupa mkataba wa kuja kurekodi nyimbo zako for one year bure.
No, ntajitolea kukupa huduma ya consultancy kuhusu studio kaka.....
Tatizo mama la music yetu ni studio!
Sasa huyu young master naye kawa mtume au?...eti anapredict the future...hata kama uwongo lakini siyo kihivyo bwana...mtu hawezi kuwa kuwa na talent zote hizo labda awe Genius.....
....mimi sina kipaji isipokuwa ni gifted!!!!
hv genius sio mtu?
What are u gifted of?
hv genius sio mtu?
there's no any relationship between genius n' talented.....ask y if dont understand!!
in academic matters!!!!