Whats wrong with you?

Ah hapana huyu ni dada yangu pia na anamjua wifi yake so namshangaa anayemzingua......
Ila hakuna shida baadae tutakaa km wanafamilia tuone tunamsaidiaje kwa haraka maana ninavyomjua hakawii kugoma kula

na leo hata sigomi,nina njaa haifai hehe nimepita hapa unga limited nikakukumbuka aisee
 
Ina maana ukamove on ukimaanisha ukamkubalia au?
Alipendwa hakupendeka, wifi akamove on maana yake akakubaliana na hali ya jamaa kutopendeka nzuri zaidi akamsahau na kuendelea na maisha...

Sasa ndo jamaa anajileta upya, mwanaume mashauzi wa kazi gani?

Swali la nyongeza 1 tu.. Ole wako uulize mawili.
 
hehe ndo maana nakupenda wifi eti ricky hajaelewa ndio maana alimwanaasha form 4 na 6.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom