Whats wrong with you?

Dah! chwitiledi acha nilog out bana, manake apa nishacancel sana kwa mzuka wa hivo vimaneno vyako vya kutamanisha, nisije nikafkuzwa kibarua halaf na wewe ukanitema ikala kwangu.
be safe! Luv u
 
Dah! chwitiledi acha nilog out bana, manake apa nishacancel sana kwa mzuka wa hivo vimaneno vyako vya kutamanisha, nisije nikafkuzwa kibarua halaf na wewe ukanitema ikala kwangu.
be safe! Luv u
Be safe & Love you too!
 
Klorokwini ndie kaka nilienae, akizaliwa yeye mimi, kama umempenda sema niunganishe.. Ni handsome kama kakako nakuapia hutajuta kuwa nae!

haha aisee ndo maana ananifatilia kwa karibu eeh!mhhh,kazi ipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom