Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,160
- Thread starter
- #81
Unauliza maandamano syria? kuja haraka na yale mapigo ya ndembe ndembe
kanga moko,laki si pesa!sasa wale cha mtoto kwa kaby band lazima uache mke.
Unauliza maandamano syria? kuja haraka na yale mapigo ya ndembe ndembe
Hebu jaribu kum pm ukimweleza kukerwa kwako na ukiona anakusumbua sana mweke kwenye IGNORE LIST, finish.
Aisee.... Pole kwa kuaribiwa cku.
Kwako sio rahisi, relax.
Duu! Jamaa lazima abadili I.d.Ok... Wacha na mimi nijitahidi kufanikisha...
Hapana huwa nafanya another way round.
Hahaha, umeonae? Pata picha huku klorokwini pale nitonye, kwa mbele kabakabana na SL wako na kangamoko afu zimelowa chapachapa, bendi isipouza kuna mkono wa mtu!
Haya fanya sasa wifi acheke..
Ya kwangu na wewe ndio ambayo hayazeeki bana na hii imesababishwa na jinsi unavyoweza kulisakata kabumbu ukiwa uwanjani...
Huoni ya kaby na huyo alieimbiwa hiyo taarabu hapo yamezeeka?
Akija husninyo ntamwambia atusaidie kumpoteza kimazingara, nasikia ndio kazi yake huko Mpwapwa!
Consider it done..
Ina maana ukamove on ukimaanisha ukamkubalia au?Ulipendwa ukaringa,ukanianza upya baada ya kukutupulia mbali. Okay sasa baada ya kuona nimemove on ni nini unataka eeh?
Thank u. Usilewe sana.ts owkay,karibu konyagi
mbona hufanyi juhudi sasa?
Niaje Erick..Ina maana ukamove on ukimaanisha ukamkubalia au?
Poa J mzima wewe?Niaje Erick..
Poa J mzima wewe?
Ah hapana huyu ni dada yangu pia na anamjua wifi yake so namshangaa anayemzingua......Fresh, we ndio umeharibu siku dada angu.
Ok, ngoja aikalishe hiyo konyagi kwanza halafu tuone..Ah hapana huyu ni dada yangu pia na anamjua wifi yake so namshangaa anayemzingua......
Ila hakuna shida baadae tutakaa km wanafamilia tuone tunamsaidiaje kwa haraka maana ninavyomjua hakawii kugoma kula
Hahaha! Ikibidi ajitoe na jf kabisa...unaona story zetu wifi kaanza kucheka?Duu! Jamaa lazima abadili I.d.