Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
- Thread starter
- #21
nakwambia na hii message ishamfikia atalalia misumari leoOoh, pole bana! Usikubali akuharibie siku yako...
nakwambia na hii message ishamfikia atalalia misumari leoOoh, pole bana! Usikubali akuharibie siku yako...
Ni kweli bana, mie namtania Preta usijehamishia hasira za huyo mkosa kazi kwangu...
Angalia usijezama kwa hasira wifi... Mpotezee bana, ya nini kujipunguzia siku za kuishi?..mwone kama mjinga..yaani wifi na hasira hapa ngoja nikaogelee kwanza
Kakako amesafiri kikazi, namtarajia mwisho wa wiki hii kama mambo yataenda vizuri...siezi my wii,kaka'ngu anakupenda sana,kwanza yuko api?
K Lex.Si umtaje tu unaumauma nini meno sasa...
Atajibeba, ndio akome na akomae!nakwambia na hii message ishamfikia atalalia misumari leo
Kakufanya nini mkuu hebu tupe dondoo huenda tukamshauri.
Si umtaje tu unaumauma nini meno sasa...
Angalia usijezama kwa hasira wifi... Mpotezee bana, ya nini kujipunguzia siku za kuishi?..mwone kama mjinga..
Kakako amesafiri kikazi, namtarajia mwisho wa wiki hii kama mambo yataenda vizuri...
Wifi dhawadi yako nimekusaidia kuagiza ila sikwambii ni nini manake nataka niku suprise...kaondoka kimya kimya kama alijua tutadai dhawadi lol
Hope so my wii.i hope its the last time he'll ever mess with me,otherwise...
Wifi dhawadi yako nimekusaidia kuagiza ila sikwambii ni nini manake nataka niku suprise...
Hope so my wii.
Kabakabana unaimba tarabu kikundi gani?
vipi teena?
Klorokwini ndie kaka nilienae, akizaliwa yeye mimi, kama umempenda sema niunganishe.. Ni handsome kama kakako nakuapia hutajuta kuwa nae!hehe thats my wii hivi hauna kaka ili tuwe mawifi mara mbili?