What's the bad/dangerous thing(s) you can't stop doing?

What's the bad/dangerous thing(s) you can't stop doing?

Nitafsirie sasa kwa ufupi na mimi nichangie
Yaani ni kuandika kitu ambacho unakifanya au unatumia huku ukijua kabisa ni kibaya na ni hatari kwako au kwa afya yako, lakini hauwezi kuacha kukifanya au kukitumia.
 
Nenda kasome kisha urudi kuniambia.

Itabidi nianze kuifanya lugha yangu iwe laini, ila hasa kwa ajili yako, uwe unanielewa vizuri.
Sawa nikienda kusoma nitarudi kukuambia.
Nitashukuru kama utatumia lugha rahisi.
 
I swallow both nails, skin and blood.
i know it is pretty disgusting. Biting my nails or eating my own flesh is not considered cannibalism unless i bite other people's nails.
Biting your nails is auto-cannibalism
 
Hata mimi naogopa kuendeshwa na mtu anayedrive kwa speed kubwa.
Huwa nahisi roho nimeishikilia mkononi.
Hahah halafu, you know what?

Hata mimi huwa naogopa kuendeshwa na mtu ako na same habit kama yangu...
 
Hyo tabia nilikua kuwa nayo kipindi nipo addicted na video games muda mwingine nilikua natoboa hadi asubuhi.
daaah ukicheza games ukija shtuka unashangaa saa 8 usiku hii hapa, na asubuhi inatakiwa kuwahi mishe.
Kwa kweli games nayo ni uraibu mwingine inatakiwa kuwa nao makini sana.
Kuna kipindi kwangu kulala saa 7 - 9 ilikuwa kawaida kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom